Shaka amekula kiapo

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
715
463
Aliyekuwa Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka leo Januari 27, 2023 ameapishwa katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa huku Rebecca Sanga akiapishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro.

Hafla hiyo ya kuwaapisha viongozi hao imehudhuriwa na viongozi mbalimbali ikiwemo kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa ikiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatuma Mwasa.
IMG-20230128-WA0013.jpg
IMG-20230128-WA0012.jpg
IMG-20230128-WA0011.jpg
 

Attachments

  • IMG-20230128-WA0013.jpg
    IMG-20230128-WA0013.jpg
    34.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom