Shaka Hamdu Shaka aisifu mahakama ya Tanzania kesi ya Freeman Mbowe

#SHAKAKAMASHAKA

IMG-20210916-WA0052.jpg
 
"Nimeona vibwagizo vya wenzetu huko mitandaoni kuwa wameruhusiwa kuingia mahakamani na simu pamoja na kufuatilia kesi ya kiongozi wao leo.

Niwaambie huo ndio Uhuru wa Mahakama na ndio Utawala wa Sheria kama msingi wa Demokrasia ya kweli chini ya utawala wa CCM na serikali makini inayoongozwa na Rais hodari, jasiri na mwenye uthubutu Mhe Samia Suluhu Hassan,

Katika nchi za kidekta tunayo yaona leo Tanzania huko hayapo " alisisitiza Shaka

View attachment 1941361

Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
Ziara Katibu Mkuu CCM
16 Septemba, 2021 Lindi.
Ndugu yangu mwana kulitafuta,acha alipate.
 
Kwani hajui kuwa walioingilia uhuru wa mahakama kabla ya kudhibitiwa kisheria na upande wa utetezi ni haohao polisi wanaotekereza maagizo kutoka juu?hata hili la Mbowe kubambikiziwa kesi ya ugaidi na serekali anayoisifia nalo anataka kusema kuwa halijui?.
"Wakuu wa wilaya
Wakurugenzi na
Wakuu wa mikoa wengi wao ndio waliopost 2025 Samia tano tena 😄😄.!"

Ni nini faida ya katiba kumpatia madaraka Rais kuteua wakuu wa wilaya, wakurugenzi,wakuu wa mikoa nk.

Tunahitaji elimu ya kiwango gani kulitambua hili ombwe lililopo katika katiba 🤦🤷
 
Mzee unafahamu maana ya Uenezi,??
Au nawewe umelogwa kama wenzako,
Shaka ndio engine ya chama, Katibu Mkuu ni rejeta ya Shaka,

Shaka anatakiwa kufunguka ndio msemaji wa Chama,

Falsafa ,itikadi,misimamo ,mwelekeo lazima ziwe kwenye fingertips
Hakuna kitu kama hicho. Eti shaka ndio engine ya chama katibu mkuu radiator? 😂Tafsiri ya wapi hiyo? 🤔
 
"Nimeona vibwagizo vya wenzetu huko mitandaoni kuwa wameruhusiwa kuingia mahakamani na simu pamoja na kufuatilia kesi ya kiongozi wao leo.

Niwaambie huo ndio Uhuru wa Mahakama na ndio Utawala wa Sheria kama msingi wa Demokrasia ya kweli chini ya utawala wa CCM na serikali makini inayoongozwa na Rais hodari, jasiri na mwenye uthubutu Mhe Samia Suluhu Hassan,

Katika nchi za kidekta tunayo yaona leo Tanzania huko hayapo " alisisitiza Shaka

View attachment 1941361

Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
Ziara Katibu Mkuu CCM
16 Septemba, 2021 Lindi.
CCM wanaruhusiwa kufanya siasa ila vyama vingine viko mahakamani kupigania uhuru wake.

Nchi imekuwa ya kipuuzi sana hii.
 
Mwanamke wa kwanza kuhutubia baraza kuu la Umoja wa Mataifa la 76 tangu tupate uhuru ni Mama Samia Suluhu Hassan,

We Proud on you Mama
_________________________

IMG-20210918-WA0036.jpg
 
[|Kazi anazofanya Rais Samia zinaacha alama kwa kikazi hiki na kizazi kijacho,

Hongera sana Mama Samia wetu, ]|
 
Back
Top Bottom