Shaka Hamdu Shaka aisifu mahakama ya Tanzania kesi ya Freeman Mbowe

Kwani hajui kuwa walioingilia uhuru wa mahakama kabla ya kudhibitiwa kisheria na upande wa utetezi ni haohao polisi wanaotekereza maagizo kutoka juu?hata hili la Mbowe kubambikiziwa kesi ya ugaidi na serekali anayoisifia nalo anataka kusema kuwa halijui?.
 
"Nimeona vibwagizo vya wenzetu huko mitandaoni kuwa wameruhusiwa kuingia mahakamani na simu pamoja na kufuatilia kesi ya kiongozi wao leo.

Niwaambie huo ndio Uhuru wa Mahakama na ndio Utawala wa Sheria kama msingi wa Demokrasia ya kweli chini ya utawala wa CCM na serikali makini inayoongozwa na Rais hodari...
Huyu nae akili hana,ameelewa ukweli chanzo kilichofanya watu kuruhusiwa au kaamua kufomoka tu?
Mla urojo

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwani hajui kuwa walioingilia uhuru wa mahakama kabla ya kudhibitiwa kisheria na upande wa utetezi ni haohao polisi wanaotekereza maagizo kutoka juu?hata hili la Mbowe kubambikiziwa kesi ya ugaidi na serekali anayoisifia nalo anataka kusema kuwa halijui?.
Hii nchi ngumu sana ,😛😛😛😛

Sasa watu kudhibitiana kisheria si ndio uhuru wenyewe anaouzungumza msemaji wa Chama Taifa,
 
"Nimeona vibwagizo vya wenzetu huko mitandaoni kuwa wameruhusiwa kuingia mahakamani na simu pamoja na kufuatilia kesi ya kiongozi wao leo...
Huyu mpuuzi ingekua bora asipocomment kila kitu. Msemaji/mwenezi kwenye chama sio kusemasema ovyo. Utafikiri yeye ndio katibu mkuu.

Yeye anatakiwa kutupa taarifa za vikao vya chama na taarifa kama anavyoelekezwa. Sasa utamsikia kila siku akipayuka mambo ya policy utafikiri ndio katibu mkuu au mwenyekiti wa ccm.
 
Uwepo wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ndo mwisho wa ccm hilo mnalijua nadhani katiba mpya haiepukiki
Kwanini msianze na katiba ya Chadema kwanza? 😛😛

Chadema ni watu hatari sana kwa ustawi wa nchi yetu ila ukiwasikiliza utadhani ni malaika wa Nuru,
 
Kwani hajui kuwa walioingilia uhuru wa mahakama kabla ya kudhibitiwa kisheria na upande wa utetezi ni haohao polisi wanaotekereza maagizo kutoka juu?hata hili la Mbowe kubambikiziwa kesi ya ugaidi na serekali anayoisifia nalo anataka kusema kuwa halijui?.
Huyo Shaka lazima kichwani ana hitilafu.
 
Huyu, kuanzia uelewa, akili, na hata uadilifu wake unaonekana ni wa shaka kubwa.

Unataka kujilinganisha na Shana aisee,

Nadhani humfahamu vema jaribu kumfuatilia vizuri,

Mtu pekee mfuasi wa demokrasia kwa vitendo 100% ndani na nje ya chama cha mapinduzi ni Shaka,,

Acha kujilinganisha na watu usiowajua,
 
Huyu mpuuzi ingekua bora asipocomment kila kitu. Msemaji/mwenezi kwenye chama sio kusemasema ovyo. Utafikiri yeye ndio katibu mkuu. Yeye anatakiwa kutupa taarifa za vikao vya chama na taarifa kama anavyoelekezwa. Sasa utamsikia kila siku akipayuka mambo ya policy utafikiri ndio katibu mkuu au mwenyekiti wa ccm.
Mzee unafahamu maana ya Uenezi?

Au nawewe umelogwa kama wenzako,

Shaka ndio engine ya chama, Katibu Mkuu ni rejeta ya Shaka,

Shaka anatakiwa kufunguka ndio msemaji wa Chama,

Falsafa ,itikadi,misimamo ,mwelekeo lazima ziwe kwenye fingertips
 
Kwani Askari waliozuia watu wasiingie kwenye ukumbi wa mahakama walikuwa chini ya utawala wa Chama gani, na chini ya Rais gani?...
Anataka tuamini hao askari waliozuia watu walitoka Yugoslavia au Hindustan
 
Back
Top Bottom