Shairi la Shaaban Robert "Heshima"

Kisiwa Cha Harishi

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2019
Messages
941
Points
1,000

Kisiwa Cha Harishi

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2019
941 1,000
Katika shairi hili hili la "Cheka Kwa Furaha" tunagundua mambo makuu matatu yahusuyo falsafa ya Shaaban Robert kuhusu maisha. Kwanza kunao msisitizo Juu ya umuhimu wa juhudi na ari maishani, msisitizo ambao hata katika shairi la "Mtu Na Malaika" unajitokeza. Mistari kadhaa ya "Cheka Kwa Furaha" inaonyesha msisitizo huo:Cheka upone jeraha, yaepuke na mashaka
Na mwili kupata siha, ukianguka inuka
Inuka juu inuka, chini usigaegae
Inuka na kisha cheka, kucheza uendelee
 

Forum statistics

Threads 1,344,244
Members 515,354
Posts 32,812,521
Top