mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 7,618
- 9,674
Kwenye ushahidi ukiongopa kwenye maswali ya mbeleni unajifungaSasa naona Mataga wanashangilia weeeee ndio ujue hawa Jamaa akili zao huwa wanaziacha chooni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye ushahidi ukiongopa kwenye maswali ya mbeleni unajifungaSasa naona Mataga wanashangilia weeeee ndio ujue hawa Jamaa akili zao huwa wanaziacha chooni
Hivi mirembe ulitoroka au uliruhusiwa ba Dr?Hahahaha!
Ogopa sana watu wanaopenda kusikia kile ambacho kitayafurahisha masikio yao.
Mna chuki na Ole Sabaya, lakini mahakama itatenda haki.
Niliruhusiwa baada ya kupona. Wewe endelea kutumia dozi, akili bado fyongo.Hivi mirembe ulitoroka au uliruhusiwa ba Dr?
Hata kama hana 'mandate' yoyote ya kukupangia cha kuandika, lakini ni ujinga kuja hapa kuandika upotoshaji!Huna 'mandate' yeyote ya kunipangia cha kuandika as long as sivunji sheria za JF.
Nitaendelea kuandika chochote nitakachojisikia.
Niliruhusiwa baada ya kupona. Wewe endelea kutumia dozi, akili bado fyongo.