Shahada feki zilizotelewa na ccm Daraja mbili zakamatwa

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,221
1,788
Tumeendelea kukamata shahada feki zilizotengenezwa na ccm na kugaiwa kwa watu wasiokuwa wakazi wa daraja mbili ili kupiga kura.Mawakala wetu wamekuwa makini mno.Hadi sasa shahada feki 70 zimeshakamatwa na wahusika wapo mikononi mwa polisi
Baada ya kuona hivyo ccm wanatumia green guards kupiga wapiga kura ili kutisha wapiga kura.Mmoja wa viongozi wa uvccm amepiga risasi kwenye kituo cha Felix Mrema,hadi sasa ccm wamepanic sana,mmoja wa wamepiga kura amepigwa eneo la Shule ya msingi Daraja mbili.
 
ccm tunatakiwa tuwe nao makini sana maana utu ndani ya ccm haupo bali wanawaza kuua tu na kudidimiza uchumi wa nchi kwa kuwapa kipaumbele kikundi fulani
 
Tumeendelea kukamata shahada feki zilizotengenezwa na ccm na kugaiwa kwa watu wasiokuwa wakazi wa daraja mbili ili kupiga kura.Mawakala wetu wamekuwa makini mno.Hadi sasa shahada feki 70 zimeshakamatwa na wahusika wapo mikononi mwa polisi
Baada ya kuona hivyo ccm wanatumia green guards kupiga wapiga kura ili kutisha wapiga kura.Mmoja wa viongozi wa uvccm amepiga risasi kwenye kituo cha Felix Mrema,hadi sasa ccm wamepanic sana,mmoja wa wamepiga kura amepigwa eneo la Shule ya msingi Daraja mbili.

Kazi nzuri kwa mawakala wetu,muendelee kukaa maeneo ya jirani pia mtupatie Updates Mh.Ephata tunategemea utupe kila kinachojili huko kata zote 2,unajua sisi tuliombali na tunaokipenda chama tunapenda kujua kila kinachoendelea huko.
Kuhusu kupiga risasi na mambo mengine ni kawaida ya polisi si mnakumbuka hata kampeni zao huwa wanapanda jukwaani na vitu vya moto @ Ragge sisi CDM ni chama teule toka mbinguni kwa nia moja kuu kuikomboa Tanzania.Makamanda msikate tamaa.
 
Kwa aina ya mawakala waliowekwa hapa Arusha, mmojawapo akiwa mwanajamvi wa hapa jf, na mnazi aliyepitiliza(Mungi) uwezekano wa kuleta shahada kituoni kwa kutumia chupa za chai na hot-pots haupo.

Kama nchi nzima itakuwa na mawakala waliowiva kama hawa wa Arusha kazi ya 2015 ni ndogo mno.
 
Tumeendelea kukamata shahada feki zilizotengenezwa na ccm na kugaiwa kwa watu wasiokuwa wakazi wa daraja mbili ili kupiga kura.Mawakala wetu wamekuwa makini mno.Hadi sasa shahada feki 70 zimeshakamatwa na wahusika wapo mikononi mwa polisi
Baada ya kuona hivyo ccm wanatumia green guards kupiga wapiga kura ili kutisha wapiga kura.Mmoja wa viongozi wa uvccm amepiga risasi kwenye kituo cha Felix Mrema,hadi sasa ccm wamepanic sana,mmoja wa wamepiga kura amepigwa eneo la Shule ya msingi Daraja mbili.
Hii ni vita ya udiwani tu je kama itatokea ubunge urudiwe watu wangapi Arusha wata kufa...CCM kwanini hamtaki kukubali kuwa watanzania wamewachoka / hawawataki tena...
 
Mpaka risasi!!!! Wana Arusha pelekeni salamu kuwa 2015 hapatatosha,
Mbeya napo wanacdm wameshambuliwa na wanaccm yaani kila kona CCM ni mikuki na risasi nina uhakika jioni ya leo ni mabomu ya machozi tu na risasi hasa Arusha, chadema wazidi kujipanga ila makamanda nina waamini sana tena chini ya kamanda Lema na Nanyaro kitaeleweka tu hakuna kurudi nyuma...
 
Tumeendelea kukamata shahada feki zilizotengenezwa na ccm na kugaiwa kwa watu wasiokuwa wakazi wa daraja mbili ili kupiga kura.Mawakala wetu wamekuwa makini mno.Hadi sasa shahada feki 70 zimeshakamatwa na wahusika wapo mikononi mwa polisi
Baada ya kuona hivyo ccm wanatumia green guards kupiga wapiga kura ili kutisha wapiga kura.Mmoja wa viongozi wa uvccm amepiga risasi kwenye kituo cha Felix Mrema,hadi sasa ccm wamepanic sana,mmoja wa wamepiga kura amepigwa eneo la Shule ya msingi Daraja mbili.

Wadhibiteni sana kwani hao wamezoea kuwa jana ni sawa na leo!! Hawajui sasa kuwa watu wamekuwa wana mageuzi halisi?? Fanyeni kazi makamanda tunasubiri kutangazwa kuwa tumeshinda huko na kwingineko tu. Daima mbele.
 
huwezi kuamini hawa jamaa ni majuha kiasi hiki,hivi hadi sasa hajashtuka kuwa watanzania wamewachoka,ndiyo maana wanatumia risasi kabana nao hao 2015 tutengeneze magereza zaidi kwani hii mijuha iko mongi na itafanya mambo ya ajabu zaidi
 
Back
Top Bottom