Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,019
- 21,909
Ok nashukuru mwaka jana nilisoma ile sifa za kupata mkopo chuo kikuu nikaona kuwa wamesema.. Diploma holders should have been completed their diploma on not more than two years ago. Nadhani wa naangalia hii. Na je kuna utauti kati ya mkopo na boom (naomba kidogo nifahamishe)
Important thread for me
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapo omba mkopo means unaomba pesa zaidi katika uitaji wako so unapo apply mkopo kwenye bodi ya mikopo wao ndio wataamua upokee asilimia ngapi (hii asilimia means watachangia iko kiasi cha pesa kwenye ada yako )
Then utakuwa unapokea pesa ya kujikimu kwa matumizi ya chuoni (nadhani kila baada ya 2 month au 3month)binafsi hii sasa ndio watu wanaita boom