Shahada baada ya stashahada: Angalizo kwa waliomaliza kidato cha nne

Wazazi na vijana wakati huu wa kuamua tupite njia gani ili tufike tutakapo kuna njia ya kuanzia certificate/diploma halafu kuomba kudahiliwa kwa degree. Ni vizuri tujue vigezo husika.

Nimeviweka hapo chini ingawa sio kwa certificate au diploma zote. La msingi kama ndio unayotaka kupitia hakikisha una kile kinachotakiwa.

Ni muhimu pia kufahamu ya kuwa kilicho andikwa hapo ndio kinaonyesha vigezo vya chini kukubalika lakini kuna vyuo vinaweka vigezo vya juu zaidi.

Hivyo ni kitu cha msingi kuhakikisha unasoma pia TCU Guide ya Equivalent Qualification kwa kuingia chuo. Pia tujue kuna tofauti kati ya degree za Afya na zile nyinginezo.

Kwa afya wako tight sana na ufaulu unaohitajika uko wazi GPA ya 3.5 pekeyake si kitu lazima uwena ufaulu huo F4.

Degree za Afya
All equivalent applicants may apply for above programmes if they meet the requirements stated below:

Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with at least Five (5) passes including two credit passes in Chemistry and Biology and a D grade in Physics PLUS appropriate Diploma or Advanced Diploma with an average of “B+’’ or GPA of 3.5

Degree Program Nyinginezo (sio Afya)
At least four O’-Level passes (Ds and above) or NVA Level III with less than four O’-Level passes or equivalent foreign qualifications as established by either NECTA or VETA; AND

Ordinary Diploma in……… (NACTE) or equivalent GPA 3.0 or “B”
Source TCU AUGUST 2018/19
mfano ukiwa Una D flat kwenye physics chemistry na biology afu Una c ya hesabu na English apo Unaweza pata coz ipi ya afya ata kwa vyuo vya private?
 
Wazazi na vijana wakati huu wa kuamua tupite njia gani ili tufike tutakapo kuna njia ya kuanzia certificate/diploma halafu kuomba kudahiliwa kwa degree. Ni vizuri tujue vigezo husika.

Nimeviweka hapo chini ingawa sio kwa certificate au diploma zote. La msingi kama ndio unayotaka kupitia hakikisha una kile kinachotakiwa.

Ni muhimu pia kufahamu ya kuwa kilicho andikwa hapo ndio kinaonyesha vigezo vya chini kukubalika lakini kuna vyuo vinaweka vigezo vya juu zaidi.

Hivyo ni kitu cha msingi kuhakikisha unasoma pia TCU Guide ya Equivalent Qualification kwa kuingia chuo. Pia tujue kuna tofauti kati ya degree za Afya na zile nyinginezo.

Kwa afya wako tight sana na ufaulu unaohitajika uko wazi GPA ya 3.5 pekeyake si kitu lazima uwena ufaulu huo F4.

Degree za Afya
All equivalent applicants may apply for above programmes if they meet the requirements stated below:

Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with at least Five (5) passes including two credit passes in Chemistry and Biology and a D grade in Physics PLUS appropriate Diploma or Advanced Diploma with an average of “B+’’ or GPA of 3.5

Degree Program Nyinginezo (sio Afya)
At least four O’-Level passes (Ds and above) or NVA Level III with less than four O’-Level passes or equivalent foreign qualifications as established by either NECTA or VETA; AND

Ordinary Diploma in……… (NACTE) or equivalent GPA 3.0 or “B”
Source TCU AUGUST 2018/19
Mkuu samahani nina swali kdg

Vp kuhusiana na aliyemaliza form six,na kujiunga diploma ya Uhasibu miaka miwili then akitaka kuendelea Degree,akiomba mkopo anapata? na jee ni kwa asilimia zote?Kwa sababu kuna watu wabishi kwel kwel.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sioni kwa nini asipate kama anatimiza vigezo. Tatizo bodi kuna nyakati haieleweki hati wanafikiri mwenye diploma ametoka kazini hivyo kwa mawazo yao ni kuwa ana jimudu. Nilisha ona vijana wa chuo kimoja walinyimwa mkopo kwa sababu kama hiyo lakini walipo lalamika mwaka wa pili wali pewa mkopo.
 
ok sawa sawa kwa majibu mazuri mkuu,
Kwan kukiwa na interval fupi ya f6 na diploma wenyewe huwa hawaangalii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ok sawa sawa kwa majibu mazuri mkuu,
Kwan kukiwa na interval fupi ya f6 na diploma wenyewe huwa hawaangalii?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wangeweza kuangalia na kuona lakini sijui kwa nini wanakuwa vipofu kwani vyeti vinaonyesha yote hayo. Nafikiri wanatafuta sababu kwani hela sidhani kama zinawatosha waombaji wote hata kama wana uhitaji wa kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom