Shafii Dauda adai aliiokoa Simba dhidi ya Yanga kuchukua wachezaji

Huyu Dauda ni mtu hataru sana.Ni mtu anayeonekana kufaidika na migogoro ya Simba.Anatamani ari ya wachezaji iwe chini,ikibidi Simba iadhibiwe tarehe 8.
Kusema kweli naanza kuona jinsi Mo anavyopigwa vita na wapiga dili akina Dauda.
Upo uwezekano wa wachezaji anaowataja kuuza mechi tarehe 8 ili kum frustrate Mo.
Nimesikia huyu huyu Shaffi ni mmoja wapo wa watu wanaochochea mgogoro wa Simba na FCC.Hii ni roho zaidi ya uchawi.Walichochochea mgogoro Stand United sasa hivi hawajui hata timu inaelekea kushuka hadi daraja la tatu.Mimi ukiniambia uswahili,sio wa wale wazee bali ni wa hawa wasomi vilaza wanaodhani wao ni lazima wafaidike na mapato ya Simba kwa kuanzisha migogoro hasa wakati wa mechi muhimu
ndiyo maana nashngaaa hapa kuna watu wansema agh achana nayo maneno ya kijiweni hayo....nitashangaa sana kama wachezaji au mamaneja hawatakanusha hili anyway kama wao wanaona sawa ni poa tu tutawasubiri hiyo tarehe nane na michezo mingine tuone jinsi hicho kishika uchumba cha GSM kwa zimbwe na kapombe kinavyofanya kazi

Uisasahau alichochea pia mgogogoro wa ramadhan singano akampeleka azam fc ndiyo maana namshangaa zimbwe junior alikuwa na ulazima gani wa kumlipa Shafih dauda awe attacking dog wake mbona angesikilizwa tu na viongozi?badala yake chawa wake dauda kaitukana club hadi lipstick za Barbara matusi yote kwa ajili ya mkataba wa zimbwe ambaye keshakula advance money ya GSM

kama aliona wanamdharau angetuaga mashabiki vizuri kwamba kapata maslahi Yanga ona sasa huku kachukua hela za simba na huku ana kishika uchumba cha GSM cha pre contract yeye na kapombe kuna nini zaidi ya kuuza mechi hapo?
 
Huo mchezo umesukwa vizuri sana,sio Dauda peke yake!!wapo baadhi ya viongozi wa ndani ya bodi ya Simbasc na baadhi ya viongozi wa zamani wa Simbasc
Mchezo huu ulisukwa vizuri na manguli wa michezo hio,kwanza alipangwa Manara Haji,ajifanye kuwa anawaomba mashabiki waanzishe kampeini ya kumuomba Zimbwejnr aongeze mkataba,
Hii ilikuwa ni kumpa presha CEO,ili aongeze dau, wakimuaminisha kuwa kuna watu wa Yanga wametoa pesa nyingi kwa kijana,hivyo atazame anaweza kuongeza kiasi gani kwa kijana ili aweze kupiku dau la Yanga ambalo kimsingi lilikuwa dau "hewa"
Kete nyingine ilikuwa ni kuwatumia waandishi wa habari hasa Dauda ili atoe taarifa feki, ambazo zingeleta taharuki kwa mashabiki, zikiwaaminisha kuwa CEO pamoja na MO hawajali wazawa,wanapendelea wageni,hii ingeweza kuleta mpasuko kwenye club!!ili kukata mzizi wa fitna ikabidi CEO awasiliane na MO na mwisho bwana mkubwa kuidhinisha mamilioni ya pesa ya usajili.
Ndio ukawa ushindi wa manguli wa michezo hio ya kitapeli,wakiongozwa na Said Tully na viongozi wengine wawili walioko kwenye bodi ya wakurugenzi wa Simbasc.
MO kajitaidi kubana mianya yote ila kuna wajanja wa town bado wanampiga pesa kupitia njia za kimafia.
Sio kweli
Mo husein alishasaini kabla timu haijaenda kanda ya ziwa
 
Alichotakiwa kufanya ni kusema Tu Yanga wanakaribia kuwanasa wachezaji Fulani na fulani wa Simba baasi

Masuala ya CEO hafai hakupaswa kuyasema
 
Alichotakiwa kufanya ni kusema Tu Yanga wanakaribia kuwanasa wachezaji Fulani na fulani wa Simba baasi

Masuala ya CEO hafai hakupaswa kuyasema
CEO hajui chochote kuhusu soka, Yule ni msimamizi wa biashara za Juis na mafuta ya kupikia, ameletwa kwenye mpira na MO yeye kazi n kupiga picha na watu maarufu.

Swala la mikataba ya wachezaji ni swala nyeti kwa maslahi ya timu, yeye alisema ana angalia vitu vikubwa ambavyo ni Caf champion league.Maswala ya mikataba upeo wake unaona ni vitu vidogo.
 
Yanga lialia
 
Huo mchezo umesukwa vizuri sana, sio Dauda peke yake!! Wapo baadhi ya viongozi wa ndani ya bodi ya Simbasc na baadhi ya viongozi wa zamani wa Simbasc.

Mchezo huu ulisukwa vizuri na manguli wa michezo hio,kwanza alipangwa Manara Haji, ajifanye kuwa anawaomba mashabiki waanzishe kampeini ya kumuomba Zimbwejnr aongeze mkataba,

Hii ilikuwa ni kumpa presha CEO, ili aongeze dau, wakimuaminisha kuwa kuna watu wa Yanga wametoa pesa nyingi kwa kijana, hivyo atazame anaweza kuongeza kiasi gani kwa kijana ili aweze kupiku dau la Yanga ambalo kimsingi lilikuwa dau "hewa".

Kete nyingine ilikuwa ni kuwatumia waandishi wa habari hasa Dauda ili atoe taarifa feki, ambazo zingeleta taharuki kwa mashabiki, zikiwaaminisha kuwa CEO pamoja na MO hawajali wazawa, wanapendelea wageni, hii ingeweza kuleta mpasuko kwenye club!!ili kukata mzizi wa fitna ikabidi CEO awasiliane na MO na mwisho bwana mkubwa kuidhinisha mamilioni ya pesa ya usajili.

Ndio ukawa ushindi wa manguli wa michezo hio ya kitapeli,wakiongozwa na Said Tully na viongozi wengine wawili walioko kwenye bodi ya wakurugenzi wa Simbasc.

MO kajitaidi kubana mianya yote ila kuna wajanja wa town bado wanampiga pesa kupitia njia za kimafia.
acha porojo
 
CEO hajui chochote kuhusu soka, Yule ni msimamizi wa biashara za Juis na mafuta ya kupikia, ameletwa kwenye mpira na MO yeye kazi n kupiga picha na watu maarufu.

Swala la mikataba ya wachezaji ni swala nyeti kwa maslahi ya timu, yeye alisema ana angalia vitu vikubwa ambavyo ni Caf champion league.Maswala ya mikataba upeo wake unaona ni vitu vidogo.

Hilo sio jukumu lako wala Shafii
Ni jukumu la walio muajiri
 
Kosa la shaffih ni lipi hapo au mtu ukiwa mnazi sharti akili uiache kwa sangoma
SHAFII ni kanjanja!! Anaganga njaa tu huyo!! Hivi sasa atamtaka Mohamed Hussein amkatie pande kwa kisingizio la kusaidia kufanikisha dili la mkataba!
 
Back
Top Bottom