Shaffih Dauda: Hatuna timu yenye uwezo wa kubeba ubingwa wa Afrika kwenye nyanja zote, huo ndio ukweli

Yaani hapo tayari keshachambua mpira!! Mimi ningetarajia atuchambulie takwimu zilizijiri katika mechi ya kwanza hapa Dar, halafu azitumie kutuambia ni kwa namna gani Orlando ni wazuri kuliko Simba.
Ukweli ni kwamba achilia matokeo baina yao kwenye mechi, takwimu za mchezo huo hazikuonesha makali yoyote ya timu hiyo hata kuipa nafasi ya kusonga mbele. Ilizidiwa karibu maeneo yote!! Kamaq itasonga mbele si kwa sababu yenyewe ni bora zaidi, bali ni matokeo tu kuwa upande wao!! Ubora wa timu huonekana kwenye btakwimu za mchezo na si vinginevyo!!
Kama Simba itasonga mbele Shafii atasema "mimi sikusema hatasonga mbele bali nilisema hatabeba ubingwa wa Confederation cup"!! Kama isiposonga mbele atasema "si nilisema, hapo hakuna kitu" Ikitokea Simba ikabeba kombe la CAF atasema " mimi nilisema hawezi kubeba ubingwa wa Africa yaani champions league". Hawa ni wambeya wa soka hitaji lao kubwa ni kuganga njaa!! Ukimpa buku anakusema vizuri nk!!
Orlando pirates ni team kubwa lakini sio team kubwa Africa team kubwa Africa kila mwaka wako CAF champions league hawachezi Confedaration. Kushinda mechi za nyumbani hazikufanyi ukawa mkubwa team kubwa ni ile inapata matokeo kwenye hali ya lazima kupata matokeo kama ulivyoona Al Ahly na Raja ule ndio ukubwa. Kuna team toka huko Kosovo walimfunga Real kwao haiwapi nafasi kuwa wakubwa. Hata team kubwa huwa zinafungwa hata ulaya lakini kila mwaka unawakuta Champions league. Simba na Yanga kwa ukubwa wao hapa nchini walitakiwa kila mwaka wako katika makundi sio kuchukuwa ubingwa lakini kupigana katika makundi ya klabu bingwa sio confideration cup huko ni kwa kina Namungo sio Simba na Yanga. Sasa kama team 2 kubwa zetu zinatolea katika round za kwanza ndio utajuwa level yetu.
 
Yes ni ni kweli tupo kwenye struggle ya kuutengeneza huo ukubwa.

Lakini katika huo mchakato wa kuutengeneza ukubwa , lazima tukubali kwamba kuna team ipo katikati ya njia kuelekea juu na nyingine bado iko huko chini(mwanzo kabisa)

Najua Mabumunda ya GSM tatakuja kubisha.
Hayo matikiti ya mo ndio yako katikati?. Akitembea tu mo tayari yamepoteana,. Tikiti halina hata kiwanja liko katikati kurudi nyuma?
 
Hayo matikiti ya mo ndio yako katikati?. Akitembea tu mo tayari yamepoteana,. Tikiti halina hata kiwanja liko katikati kurudi nyuma?
Mbona unaongea kama vile una fangus makalioni?

Kwahiyo Pale Yanga Sc akiondoka GSM mnabaki na ninni?

Mazembe akiondoka Katumbi inabaki nini, huoni tangu katumbi aathirike kisiasa hata Mazembe imeshuka?

Motsepe akiondoka Mamelod kutabaki nini?

Mabumunda ya Yanga bwana😄😄
 
Mbona unaongea kama vile una fangus makalioni?

Kwahiyo Pale Yanga Sc akiondoka GSM mnabaki na ninni?

Mazembe akiondoka Katumbi inabaki nini, huoni tangu katumbi aathirike kisiasa hata Mazembe imeshuka?

Motsepe akiondoka Mamelod kutabaki nini?

Mabumunda ya Yanga bwana
Fangas za makalioni ndio zikoje?. Mikiani kweli kuna wagonjwa. Mmejaa panick,waume zenu wana kazi kuwatuliza
 
Kwenye mpira kwanin isiwezekane wangapi wamechukua makombe timu zao zikiwa dhohoful hali.. Wigan sijui nani sikumbuki katwaa fa huku anashuka daraja.
Yah nikweli kabisa sheikh,,,mfano Real betis jana ametoka kuchukua ubingwa copa del rey,,, amemtoa valencia.
 
Kwahiyo tukubali kwamba msukule na Bumbuli wanatuona sisi utopolo kwamba ni hamnazo kweli. Maana kila siku wanasema wanasuka kikosi cha kuchukua ubingwa wa Afrika mwaka ujao halafu sisi tunashangilia kama mazuzu vile huku tukijua kwamba uwezo wetu huwa ni mechi mbili tu za hatua ya awali na tunagongwa nje ndani na kuondoshwa mashindanoni
Akili zako zinafanana na pp yako, mbona sisi MAKOLO huwa tunashangilia kuwa wasindikizaji bora tu miaka yote tukiishia njiani lakini bado tunajiona tuna timu bora kuliko Real Madrid kihisia kumbe kiuhalisia ni Majimaji FC iliyochangamka
 
Makolo yaliambiwa yakashupaza shingo, kiko wapi?
Mnakejeli kana kwamba jana Utopolo ndiyo mlishinda kwa kuifunga Simba, kumbe mnaandika ili muonekana mnajua kukejeli.
Akili zako zinafanana na pp yako, mbona sisi MAKOLO huwa tunashangilia kuwa wasindikizaji bora tu miaka yote tukiishia njiani lakini bado tunajiona tuna timu bora kuliko Real Madrid kihisia kumbe kiuhalisia ni Majimaji FC iliyochangamka
 
Shafii Dauda ni mmoja wa wachambuzi wa soka uchwara!! Mpira haujui wala hajawahi kuucheza atawezaje kuuchambua?? Huyu hapaswi kuitwa mchambuzi wa soka bali mumbeya wa soka, na sifa yake kubwa ni kumiliki mdomo basi!!
Huyu anapaswa kuambiwa kuwa fani hiyo awaachie kina Ally Mayai Tembele ambaye hutamsikia hata siku moja akifanya umbea kwenye soka!!
Shafih kacheza mpira japo level za chini daraja la kwanza
 
Back
Top Bottom