Shaffih Dauda: Hatuna timu yenye uwezo wa kubeba ubingwa wa Afrika kwenye nyanja zote, huo ndio ukweli

Hivi watu kwanini huwa hampendi kuambiwa ukweli? ... Hivi huwa mnaziona timu zenu ni bora kihiiiiivyoooo, yani mnajiona level moja na kina Al Ahly, Casablanca, Mamelodi, Esperance n.k?

Tukubali ukweli. Sisi bado tupo njiani. Bado tupo kwenye struggle ya kutengeneza huo ukubwa, ila kwasasa tusidanganyane.

Kuanzia uwekezaji mpaka miundombinu. Huo ukubwa tunaoujenga kichwani bado wazee. Hamna timu ya kubeba ubingwa wa Afrika hapa
SteveMollel upo sahihi kijana shida wengi wanaushabiki wa kipumbavu lakit alichokisema shaffih ni fact kabisa anyway vipi watu wako wa movie tumekumis Sana muda mrefu umepita bila kutupa vitu vikali
 
Back
Top Bottom