Shaffih Dauda: Haji Manara ni nani pale Simba?

Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,348
5,977
Afisa habari wa klabu ya Simba Haji Manara alifanya mkutano na waandi wa habari za michezo, katika mkutano huo Manara alitumia muda mwingi kulalamikia baadhi ya maamuzi yaliyofanywa na waamuzi katika mechi kadhaa (Mbao vs Simba, Stand United vs Simba, Yanga vs Simba) akidai waamuzi wamekuwa wakiikandamiza klabu yake. Manara alikwenda mbali na kuwashutumu wanahabari (wachambuzi) kwamba hawaandiki wala hawasemi pale klabu yake inapokuwa imeonewa badala yake wanasifia upande wa pili.

Kwanza kabisa mimi sijui nafasi ya Haji Manara kwenye klabu ya Simba, kwa sababu mara nyingi amekuwa akizungumzia masuala ya Yanga pamoja na vilabu vingine tofauti na maafisa habari wengine wanavyofanya pindi wakikutana na waandishi wa habari. Kwenye mkutano wake nilisikia akimzungumzia afisa habari wa Yanga Dismas Ten. Manara alikuwa akijinadi yeye ni afisa habari wa klabu kubwa hadi mashabiki wa Yanga walimkimbilia baada ya kumalizika kwa mechi ya watani wa jadi.

“Juzi tumemaliza mechi mashabiki wa Yanga wananikimbilia, mimi nikawauliza swali moja kwani nyinyi hamna msemaji? Kwa sababu msemaji wa Simba ni memaji mkubwa kwa sababu mimi nasemea taasisi kubwa, taasisi maarufu, nani ananiweza?”-Haji Manara.

Dismas Ten na Haji Manara ni watu wawili tofauti, Dismas anazindua jarida la klabu na kutengeneza mipango ya namna ambavyo taarifa za klabu zitafika kwa umma kwa urahisi kupitia mifumo rasmi sociali media za klabu (instagram, YouTube, website, n.k) yeye ndio afisa habari haswa wa klabu sio mpiga kelele.

Nafasi aliyopo kwa mpira wa kileo Dismas Ten ni mtu sahihi ukilinganisha na Haji Manara ambaye amekuwa mtu wa kulalamika muda wote.

Nimesikia malalamiko yake alipokuwa akiwazungumzia waamuzi, sio mara ya kwanza kwa Manara kushutumu waamuzi, wakati mwingine nashindwa kumuelewa kwa sababu nachofahamu Manara ni mtu wa mpira na anaufatilia kwa karibu. Wakati siis tunakuwa yeye alikuwa ametutangulia katika masuala ya uchambuzi wa michezo. Sasa anapokuja kuzungumzia mambo ya kiufundi pasipo kuelezea kiuhalisia zaidi ya kupiga kelele na kwenda kwa Waziri kupeleka barua, kuwambia TFF wamfungie, ataenda FIFA mwisho wa siku kama Mh. Waziri asipojibu.

Turudi kwenye maeneo ya msingi, ili mwamuzi aweze kutoa maamuzi kuna vitu anavizingatia kwa maana ya kuvipa kipaupembele kabla ya kuamua matukio tata ya uwanjani hususan mazingira ya penati ambazo Manara anazungumzia.

Adhabu ya penati inapotokea mtu ameshika

Mwamuzi lazima aangalie mikono ipo kwenye maeneo gani kama ipo maeneo yake ya ya kawaida ‘natural position’ au la. Kwa kawaida mtu anapokuwa amesimama mikono inakuwa imeelekea chini kila mmoja anafahamu, sasa inapotokea mchezaji anaruka juu hawezi kuruka huku mikono ikiwa imeelekea chini (haiwezekani mchezaji akaruka juu kama Morani wa kimasai) lazima ainyanyue juu kwa ajili ya kumpa balansi na stamina ya kuruka.

Kuna suala la umbali kati ya mpira na mkono uliogusa mpira, dhamira ya mchezaji kama alifanya kwa makusudi au imetokea kwa bahati mbaya, ukali wa mpira (mpira ulikuwa katika spidi ya aina gani inawezekana spidi ya mpira ilikuwa kubwa kwa hiyo mchezaji akaweka mipono kwa ajili ya usalama wake kuzuia mpira usimpige eneo fulani ambalo anaweza kuumia) kwa hiyo waamuzi huwa waangali mambo kama hayo na mengine kabla ya kuamua.

Kuhusu Tshishimbi, ulikuwa umepigwa mpira mrefu ukamgonga kichwani lakini alikuwa kwenye mazingira ya kucheza ule mpira halafu kulikuwa na mtu mbele yake baada ya mpira kumgonga kichwani ukaangukia mikononi katika hali ya kawaida ukiangalia mazingira ya mpira ulivyokuwa unachezwa na mpira ulivyokuja utagudua Tshishimbi hakuushika mpira kwa makusudi kwa sababu mikono yake haikuwa kwenye eneo la kawaida kwa sababu alikuwa kwenye movement. Je sehemu ilipokuwepo mikono ya Tshishi alikuwa amedhamiria kuuzuia mpira kwa mikono?

Hakuna mtu atakaekataa kwamba mpira haukugusa mikono lakini ukiangalia mazingira yalikuwa yanamfanya mwamuzi atoe adhabu ya penati?

Kuhusu kesi yaKelvin Yondani nilitarajia kumsikia Manara akilalamika kwamba Yondani wakati anaruka kabla ya kuugusa mpira kwa mikono alikuwa anahatarisha usalama wa Shiza Kichuya kwa namna alivyoruka (hakuruka kiusalama) alikuwa anahatarisha usalama wa mchezaji mwingine. Pamoja na kuruka vibaya hakumgusa wala kumuumiza Kichuya.

Tukirudi kuangalia wakati anaushika mpira utagundua Yondani alikuwa ameruka juu, katika hali ya kawaida kwa namna alivyoruka, alidhamiria kuuzuia ule mpira kwa mikono? Inaonesha mpira ulikwenda kugonga kwenye mkono wake pasipo yeye kuwa amedhamiria kuuzuia kwa mkono.

Manara anakuja kuaminisha watu kwamba, waamuzi Elly Sasii na wengine walifanya maamuzi mabaya dhidi ya Simba lakini anasahau kama wangemua kutoa penati pia wangekuwa wameidhulumu Yanga kwa kufanya maamuzi ambayo yalikuwa hayastahili Simba kuyapata.

Mara nyingi Manara amekuwa akitafuta umaarufu kwa sababu siku hizi pia yupo kwenye mitandao ya kijamii, mimi nina account ya YouTube kwa namna na vitu ambavyo Manara anaviongea ukipost video yake inaangaliwa na watu wengi sana kwa hiyo ameona hiyo fursa, kwa hiyo inabidi aitumie vizuri kuliko kuwashambulia watu mfano waamuzi. Tujiulize swali, mechi iliyopita ya Yanga vs Simba ni Haji Manara pekeake ndio ameona waamuzi wamechezesha vibaya? Watu wengine wote hawakuona?
 
Hadisi ndeeeefu!!!!
Madai take ni ya kweli si ya kweli?
Jibu ndio uhalisia
 
Hadisi ndeeeefu!!!!
Madai take ni ya kweli si ya kweli?
Jibu ndio uhalisia
Acha ujinga na ushamba wa ku quote uzi mrefu kama huu,au ndio umeingia mjini leo dogo?
wp_ss_20171101_0007.png
 
Manara anayo haki ya kutetea mwajiri wake.Ni haki yake kupaza sauti ili mkono uende kinywani.Sioni sababu tumlaumu kwa hilo.
Kikubwa kinachotokana na kilio chake ni mambo ya ufundi kimpira.wataalamu wachukue tahadhari kurekekebisha kasoro hizo(kama ni za kweli au zina athari kwa matokeo ya mechi).moja ya tahadhari ni kutoa elimu ya sheria za mpira(modern football techs) kwa wadau na pia msemaji wa TFF KUJITOKEZA kuelezea sintofahamu za makosa yanayotokea uwanjani aidha kwa uzembe wa ma refa au kwa uelewa mdogo wa sheria za mpira kwa baadhi ya wadau na mashabiki.
Nampongeza Huyu Mdau ambaye kwa nafasi yake ametujuza kilichotokea uwanjani(SimbavsYanga).ukweli ametufunua ubongo maana niliposoma Gazeti la Mwananchi(1.11.2017) nilijiuliza Manara analalamikia nini?.Tukubali Manara alikuwa kazini na ameripoti na pia tukubali inawezekana naye ni miongoni wa wale wanaopaswa kuelimishwa zaidi mbinu za mpira na sheria zinazolinda "fair play".
 
Manara kiangazi anazidi kutokwa na Akiri, kheri yafike haya masika walahi.
 
Manara akijibiwa kama ivi anakimbilia kulalama kua wanamnyanyapaa yaani anatamani aseme timu ya Simba inafanyiwa yote haya kwa sababu yake tu.
 
Afisa habari wa klabu ya Simba Haji Manara alifanya mkutano na waandi wa habari za michezo, katika mkutano huo Manara alitumia muda mwingi kulalamikia baadhi ya maamuzi yaliyofanywa na waamuzi katika mechi kadhaa (Mbao vs Simba, Stand United vs Simba, Yanga vs Simba) akidai waamuzi wamekuwa wakiikandamiza klabu yake. Manara alikwenda mbali na kuwashutumu wanahabari (wachambuzi) kwamba hawaandiki wala hawasemi pale klabu yake inapokuwa imeonewa badala yake wanasifia upande wa pili.

Kwanza kabisa mimi sijui nafasi ya Haji Manara kwenye klabu ya Simba, kwa sababu mara nyingi amekuwa akizungumzia masuala ya Yanga pamoja na vilabu vingine tofauti na maafisa habari wengine wanavyofanya pindi wakikutana na waandishi wa habari. Kwenye mkutano wake nilisikia akimzungumzia afisa habari wa Yanga Dismas Ten. Manara alikuwa akijinadi yeye ni afisa habari wa klabu kubwa hadi mashabiki wa Yanga walimkimbilia baada ya kumalizika kwa mechi ya watani wa jadi.

“Juzi tumemaliza mechi mashabiki wa Yanga wananikimbilia, mimi nikawauliza swali moja kwani nyinyi hamna msemaji? Kwa sababu msemaji wa Simba ni memaji mkubwa kwa sababu mimi nasemea taasisi kubwa, taasisi maarufu, nani ananiweza?”-Haji Manara.

Dismas Ten na Haji Manara ni watu wawili tofauti, Dismas anazindua jarida la klabu na kutengeneza mipango ya namna ambavyo taarifa za klabu zitafika kwa umma kwa urahisi kupitia mifumo rasmi sociali media za klabu (instagram, YouTube, website, n.k) yeye ndio afisa habari haswa wa klabu sio mpiga kelele.

Nafasi aliyopo kwa mpira wa kileo Dismas Ten ni mtu sahihi ukilinganisha na Haji Manara ambaye amekuwa mtu wa kulalamika muda wote.

Nimesikia malalamiko yake alipokuwa akiwazungumzia waamuzi, sio mara ya kwanza kwa Manara kushutumu waamuzi, wakati mwingine nashindwa kumuelewa kwa sababu nachofahamu Manara ni mtu wa mpira na anaufatilia kwa karibu. Wakati siis tunakuwa yeye alikuwa ametutangulia katika masuala ya uchambuzi wa michezo. Sasa anapokuja kuzungumzia mambo ya kiufundi pasipo kuelezea kiuhalisia zaidi ya kupiga kelele na kwenda kwa Waziri kupeleka barua, kuwambia TFF wamfungie, ataenda FIFA mwisho wa siku kama Mh. Waziri asipojibu.

Turudi kwenye maeneo ya msingi, ili mwamuzi aweze kutoa maamuzi kuna vitu anavizingatia kwa maana ya kuvipa kipaupembele kabla ya kuamua matukio tata ya uwanjani hususan mazingira ya penati ambazo Manara anazungumzia.

Adhabu ya penati inapotokea mtu ameshika

Mwamuzi lazima aangalie mikono ipo kwenye maeneo gani kama ipo maeneo yake ya ya kawaida ‘natural position’ au la. Kwa kawaida mtu anapokuwa amesimama mikono inakuwa imeelekea chini kila mmoja anafahamu, sasa inapotokea mchezaji anaruka juu hawezi kuruka huku mikono ikiwa imeelekea chini (haiwezekani mchezaji akaruka juu kama Morani wa kimasai) lazima ainyanyue juu kwa ajili ya kumpa balansi na stamina ya kuruka.

Kuna suala la umbali kati ya mpira na mkono uliogusa mpira, dhamira ya mchezaji kama alifanya kwa makusudi au imetokea kwa bahati mbaya, ukali wa mpira (mpira ulikuwa katika spidi ya aina gani inawezekana spidi ya mpira ilikuwa kubwa kwa hiyo mchezaji akaweka mipono kwa ajili ya usalama wake kuzuia mpira usimpige eneo fulani ambalo anaweza kuumia) kwa hiyo waamuzi huwa waangali mambo kama hayo na mengine kabla ya kuamua.

Kuhusu Tshishimbi, ulikuwa umepigwa mpira mrefu ukamgonga kichwani lakini alikuwa kwenye mazingira ya kucheza ule mpira halafu kulikuwa na mtu mbele yake baada ya mpira kumgonga kichwani ukaangukia mikononi katika hali ya kawaida ukiangalia mazingira ya mpira ulivyokuwa unachezwa na mpira ulivyokuja utagudua Tshishimbi hakuushika mpira kwa makusudi kwa sababu mikono yake haikuwa kwenye eneo la kawaida kwa sababu alikuwa kwenye movement. Je sehemu ilipokuwepo mikono ya Tshishi alikuwa amedhamiria kuuzuia mpira kwa mikono?

Hakuna mtu atakaekataa kwamba mpira haukugusa mikono lakini ukiangalia mazingira yalikuwa yanamfanya mwamuzi atoe adhabu ya penati?

Kuhusu kesi yaKelvin Yondani nilitarajia kumsikia Manara akilalamika kwamba Yondani wakati anaruka kabla ya kuugusa mpira kwa mikono alikuwa anahatarisha usalama wa Shiza Kichuya kwa namna alivyoruka (hakuruka kiusalama) alikuwa anahatarisha usalama wa mchezaji mwingine. Pamoja na kuruka vibaya hakumgusa wala kumuumiza Kichuya.

Tukirudi kuangalia wakati anaushika mpira utagundua Yondani alikuwa ameruka juu, katika hali ya kawaida kwa namna alivyoruka, alidhamiria kuuzuia ule mpira kwa mikono? Inaonesha mpira ulikwenda kugonga kwenye mkono wake pasipo yeye kuwa amedhamiria kuuzuia kwa mkono.

Manara anakuja kuaminisha watu kwamba, waamuzi Elly Sasii na wengine walifanya maamuzi mabaya dhidi ya Simba lakini anasahau kama wangemua kutoa penati pia wangekuwa wameidhulumu Yanga kwa kufanya maamuzi ambayo yalikuwa hayastahili Simba kuyapata.

Mara nyingi Manara amekuwa akitafuta umaarufu kwa sababu siku hizi pia yupo kwenye mitandao ya kijamii, mimi nina account ya YouTube kwa namna na vitu ambavyo Manara anaviongea ukipost video yake inaangaliwa na watu wengi sana kwa hiyo ameona hiyo fursa, kwa hiyo inabidi aitumie vizuri kuliko kuwashambulia watu mfano waamuzi. Tujiulize swali, mechi iliyopita ya Yanga vs Simba ni Haji Manara pekeake ndio ameona waamuzi wamechezesha vibaya? Watu wengine wote hawakuona?
Msemaji was SSC na anafaa sana!
 
Uamuzi wa refa ndiyo wa mwisho, lakini la maana ni kama hiyo faulo ilifanyika au hapana kwa maana ya uchambuzi kwa faida mbalimbali. Wachambuzi wengine waliona kuwa ile ilistahili penati. Sasa ni Sawa au la, linajadilika kutokana na vielelezo vilivyopo lakini kuanza kuhusisha madai ya Haji Manara na matukio mengine na hata sababu zinazomfanya afanye hivyo nafikiri ni nje ya mjadala kwa kuwa sasa unakuwa biased kiasi unaweza kuyakosa hata yale anayoweza kuwa sahihi. Nazungumzia objectivity.
 
Well said,but next time uzi quote Uzi wote mkuu.
 
Kama alizuia team isicheze kisa yanga anaviporo mwishowe yanga kachukua ubingwa unadhan hapo kuna mtu
 
Ile ya Yondani ni penati hata uipake rangi vipi? Yondani hakuwa makini katika urukaji wake, kwanza alihatarisha usalama lkn hakuchukua tahadhari kuwa yuko kwenye penati box

Ni penati bila kupepesa macho, ila nakiri kuwa yule mwamuzi ni mwamuzi bora kabisa, na aliimudu mechi, hakupendelea upande wowote, makosa ni ya kibinadamu
 
Back
Top Bottom