Shabiki wa Yanga SC ahamia Simba SC baada ya mwanae kulipiwa fedha za matibabu katika Taasisi ya Moyo ya JKCI

Yanga kama imewauma vile! Sasa nyie mjengeeni nyumba na kimsomesha mtoto hadi university!!..ili arudi!

Huyo jamaa, ameonyesha tu namba Upendo wa mzazi kwa mtoto wake ulivyomkubwa, kwa mzazi yuko radhi kupoteza kila kitu mbele ya uhai wa mwanae!! Kama bado hamuelewi rudianeni na Lipuli kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ujinga uliopitiliza ! ni tuiite rushwa ya matibabu au TAKRIMA? AIBU YAKO MDOGO WANGU HAJI MANARA!
 
Back
Top Bottom