Shabiki wa Yanga Makame aponzwa na ukweli wake

Smart AJ

JF-Expert Member
Mar 21, 2022
5,532
5,750
Jamaa anajulikana wazi kuwa ni shabiki kindakindaki wa Yanga, ila linapokuja suala la kuongea ukweli basi wananchi wameanza kutilia mashaka u Yanga wake, kwanini? Au ni ushamba tu wa kukubali kitu hata kama unaona kina walakini?

Binafsi nimemuelewa huyu jamaa, japo kuna mida unaona anabaki kwenye ushabiki ila kuna muda ana kuwa na maana sana. Hongera sana mzee baba, japo huko Instagram jamaa kayaoga sana matusi asee. Jamani wananchi wana mijitusi jamani.

Mwanangu hatakaa kusahau, yaani kutoa maoni tu ndiyo atukanwe vile na wananchi?

Kuna huyo mwingine hapo jina lake halikupatikana, ila alikuwa anaitwa Ali na wananchi yeye alivurugwa kabisa.

NB: Wananchi muacheni Makame basi, jamaa kasema anamkubali sana Chama, kuna mwananchi mmoja humu huwa anamuita kiungo konokono.

IMG_6371.jpg

IMG_6369.png
 
Attachments

  • IMG_6370.png
    IMG_6370.png
    452.7 KB · Views: 3
Jamaa anajulikana wazi kuwa ni shabiki kindakindaki wa Yanga, ila linapokuja suala la kuongea ukweli basi wananchi wameanza kutilia mashaka u Yanga wake, kwanini? Au ni ushamba tu wa kukubali kitu hata kama unaona kina walakini?

Binafsi nimemuelewa huyu jamaa, japo kuna mida unaona anabaki kwenye ushabiki ila kuna muda ana kuwa na maana sana. Hongera sana mzee baba, japo huko Instagram jamaa kayaoga sana matusi asee. Jamani wananchi wana mijitusi jamani.

Mwanangu hatakaa kusahau, yaani kutoa maoni tu ndiyo atukanwe vile na wananchi?

Kuna huyo mwingine hapo jina lake halikupatikana, ila alikuwa anaitwa Ali na wananchi yeye alivurugwa kabisa.

NB: Wananchi muacheni Makame basi, jamaa kasema anamkubali sana Chama, kuna mwananchi mmoja humu huwa anamuita kiungo konokono.

View attachment 2388573
View attachment 2388575
Hata Kilomoni alikuwa anasema ukweli vizuri tu, aliponea chupchup kupokea vipigo mara nyingi tu.
 
Rage anakusalimia.
Rage amekaa zake pale 👉 🤠 anawaangalia tu wanavyo jishaua na kujisahaulisha matatizo yao, kupitia mgongo wa Yanga!

Tangu Yanga itoe sare na Al Hilal, na wao kushinda ugenini dhidi ya Agosto; husikii kelele tena za kuwakataa baadhi ya wachezaji, na viongozi wao wa timu.
 
Rage amekaa zake pale anawaangalia tu wanavyo jishaua na kujisahaulisha matatizo yao, kupitia mgongo wa Yanga!

Tangu Yanga itoe sare na Al Hilal, na wao kushinda ugenini dhidi ya Agosto; husikii kelele tena za kuwakataa baadhi ya wachezaji, na viongozi wao wa timu.
Mtamanuliwa tu mtake msitake hakuna jinsi nyingine
 
Manara anawasanufu tu Yanga...anajisemea hawa uto hamna kitu wao level zao Gwambina, Ruvu JKT na Polisi Moshi
 
Back
Top Bottom