Shabiki wa Arsenal!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,702
Kuwa shabiki wa arsenal raha yake ndio hii. Jamaa kavaa jezi ya arsenal, kampa ombaomba pesa ya msaada kakataa, kwenye daladala abiria wanampisha siti, kampa konda nauli kakataa kasema nenda tu kijana, pole sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom