Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,786
- 13,559
Mimi nitoe comment zangu ulete shombo mbona utafurahia na familia yako
Mo ni muungwana maana kaona asipigizane kelele na mjinga asiyejua maana ya ushabiki.hahah Mo kawa mdogo kama piriton. Kumbe maskini tukijiamini tunaweza hahahaa
verified ina oo mbili wewefake account ina o mbili ila vilaza hawaoni hilo
kweli kabisaDah inaonekana hayo maneno yamemchoma Mo
wewe ambae haukurupuki tuambie ya Mo ikojeAcheni ukurupukaji.
Account ipi hiyo ya mo dewji? Sio account yake hiyo!
Ni a/c yake mkuu tena verified, kafuta post yake.Acheni ukurupukaji.
Account ipi hiyo ya mo dewji? Sio account yake hiyo!
Acha kujijaza ujinga wwhahah Mo kawa mdogo kama piriton. Kumbe maskini tukijiamini tunaweza hahahaa
Mo amekuwa mswazi, yani huwezi sema ni tajiri.
Mo kama Diamond.
Sijui bongo katuloga nani, mtu anashindwa kulinda status yake.
Haya mambo angeachia mashabiki, atajenga chuki bure na watu kuchukia bidhaa zake.
Poor Dewji
mzee baba kapanick vibaya mnooo!!!Watanzania wana stress ukijichanganya wanakutolea stress zao
Sijaona kosa la Mo ,huyo mzee baba akapambane na hali yake
Umasikini wa pesa usikufanye uwe mnyonge mkuu.hahah Mo kawa mdogo kama piriton. Kumbe maskini tukijiamini tunaweza hahahaa