Nikutumie namba ya Airtel money pmHahahahahah mkuu weka namba ya m-pesa tumchangie asee
Mkuu itapendeza sana agalau tumfariji huyu mwenzetu kwa kidogo tulichonacho, na ww rasimi utakua muhazini katika hili swala Eng. Zezudu
Tumuwekee mechi zilizopita hasa ile yanga waliyopigwa 4 - 1 na mnyamaWakulungwa naomba tutafute namna ya kumfariji huyu ndugu yetu.View attachment 1777851
Wakulungwa naomba tutafute namna ya kumfariji huyu ndugu yetu.View attachment 1777851
Wakulungwa naomba tutafute namna ya kumfariji huyu ndugu yetu.View attachment 1777851
Apatiwe kitabu cha Mzee Mwinyi
Uyu mwamba wa kigoma atarudi lini kigomaMkuu itapendeza sana agalau tumfariji huyu mwenzetu kwa kidogo tulichonacho, na ww rasimi utakua muhazini katika hili swala Eng. Zezudu
Kuna wazee wa fursa kule fb waliweka namba ya kutuma pesa na watu wakaanza kutuma mizigo,kuja kushtuka namba haipatikani na mizigo iliyotumwa ishatolewa.uyu bwana itabidi tumchangie jamani
Dah jamani watu awaogopi dhambiKuna wazee wa fursa kule fb waliweka namba ya kutuma pesa na watu wakaanza kutuma mizigo,kuja kushtuka namba haipatikani na mizigo iliyotumwa ishatolewa.
Bongo kuna watu wanaelimu pana ya upigaji.
Wazo zuri sana hili, ngoja nilifanyie kaziMi nlikua nafikir tumtaftie mganga atakaefanya aihame Yanga au unaonaje mkuu wa kilinge?