Shaaban Robert alivyokimudu Kiingereza

Idd Ninga

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
5,136
4,297
SHAABAN ROBERT, MSWAHILI ALIEMUDU KIINGEREZA.

Watu wengi hudhani kwamba kuwa mfuasi wa kiswahili ni ishara ya kwamba hufahamu lugha ya kingereza,na wengine huamini kwamba kupigania kiswahili ni kukikataa kingereza,lakini tukiwatazama wapenzi wa damu wa kiswahili wa kipindi kile utagundua ni namna gani walivyokipenda kiswahili lakini wakawa wana kimudu kingereza vizuri kuliko hata wale wanaojifanya kukikubali kingereza.
Kwa upande wangu nimekua nikiamini kuwa ili kukifikisha kiswahili mbali basi hatuna budi kujifunza lugha za kigeni ili tuweze kukitangaza kiswahili nje ya mipaka ya Tanzania na Afrika.
Shaaban Robert hujulikana zaidi kama mtunzi wa mashairi ya kiswahili,lakini mbali na hiyo pia aliwahi kuandika tungo ambazo ndani yake alitia maneno ya kingereza, mfano ni tunzo hii:

"All come in,kila mwenyeji aweza
Do his turn,Tanganyika kuikuza
Know each grain,uzito inaongeza
African association,naam mwangaza".

Mbali na shaaban Robert kuweka lugha ya kingereza katika tungo yake pia alikuwa akitumia kingereza katika baadhi ya insha zake,nitanukuu maneno machache katika insha moja juu ya History of sunlight soap,alisema:
" I speak with freedom of history and I hope without mistake that the lever brother limited as company-hass a great pass and it is still possible that it will have a great future"

Akaendelea kusema tena:
"This is immense shipping and manufacturing centre.
It must be owned that,there are two different sea routes by which this cargo reaches Tanganyika, but we shall choose the shortest and try to explain to the fullest".
Mbali na utunzi pia Shaaban Robert alitumia kingereza katika kufanya mawasiliano ndani na nje ya nchi,mfano ni barua yake ya mwaka 1938 aloandika kwa mdogo wake Yusufu Ulenge,kwa uchache nanukuu:
" At Arusha you will be with Mr Ally Mkindi,his house is just near the mosque ........"

Muaandaji-Idd Ninga.
Tengeru Arusha.
Voice of Youth Tanzania.
+255624010169
iddyallyninga@gmail.com
 
Nyuzi zako unafeli kwenye conclusion.
SHAABAN ROBERT, MSWAHILI ALIEMUDU KINGEREZA.

Inachosha. huna maana zaidi ya kuweka jina lako hapo. wa '' A town'' bana hovyo sana. utawajua tu. Dar hatuna hayo
 
Ni kanuni ya lugha kadri unapojifunza lugha nyingine ndivyo ufasaha kwenye lugha unazojua unaongezeka zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom