Shaaban Luth Kitentya anawania tuzo ya viongozi bora vijana barani Africa

Mfua suleiman

Member
Feb 27, 2014
60
62
Habari Tanzania!!
Mtanzania mwenzetu *Shaaban Luth Kitentya* Amekua Nominated kwenye Kipengele Cha *Leader of the Year* katika Tuzo Za Viongozi Bora Vijana barani Afrika.

Naomba tuonyeshe uzalendo kwa kumpigia kura kwa kufuata Link chini kabisa, kisha Chagua Kitentya Luth kwani ushindi wake katika tuzo hizi kutazidi kuliletea heshima kubwa taifa letu.

Mtanzania mwenzetu huyu ameingia kwenye tuzo hizi kwa kua yeye katika uchaguzi mkuu wa 2015 ndiye aliyekua mgombea ubunge mwenye umri mdogo kuliko wagombea wote nchini (21yrs) na alikua akigombea jimbo la Kibiti Mkoa wa Pwani kupitia chama cha ACT-Wazalendo.
Mwisho wa kupiga kura hizi ni trh 28'Dec'2016

Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kupitia namba 0713660746 / 0762889549

Africa Youth Awards is a prestige award scheme with the prime aim of appreciating the works of young Africans in Africa and the Diaspora. Launched in 2014, the awards scheme was inspired by the lack of recognition for young Africans who have selflessly dedicated their lives to making sure the future of Africa is optimistic.

Place Your Vote
1481242315627.jpg
1481242326734.jpg
1481242339403.jpg
 
Kwahiyo unashauri mini kifanyike, Mimi ndio kwanza namuona hapa jf.
 
Habari Tanzania!!
Mtanzania mwenzetu *Shaaban Luth Kitentya* Amekua Nominated kwenye Kipengele Cha *Leader of the Year* katika Tuzo Za Viongozi Bora Vijana barani Afrika.

Naomba tuonyeshe uzalendo kwa kumpigia kura kwa kufuata Link chini kabisa, kisha Chagua Kitentya Luth kwani ushindi wake katika tuzo hizi kutazidi kuliletea heshima kubwa taifa letu.

Mtanzania mwenzetu huyu ameingia kwenye tuzo hizi kwa kua yeye katika uchaguzi mkuu wa 2015 ndiye aliyekua mgombea ubunge mwenye umri mdogo kuliko wagombea wote nchini (21yrs) na alikua akigombea jimbo la Kibiti Mkoa wa Pwani kupitia chama cha ACT-Wazalendo.
Mwisho wa kupiga kura hizi ni trh 28'Dec'2016

Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kupitia namba 0713660746 / 0762889549

Africa Youth Awards is a prestige award scheme with the prime aim of appreciating the works of young Africans in Africa and the Diaspora. Launched in 2014, the awards scheme was inspired by the lack of recognition for young Africans who have selflessly dedicated their lives to making sure the future of Africa is optimistic.

Place Your VoteView attachment 444097View attachment 444098View attachment 444099
Je ukiachana na kugombea ubunge amefanya kitu gani kingine cha ziada , ili tuweze kujiridhisha kwamba yuko vizuri katika masuala ya leadership.
 
Kama alishindwa ubunge, Ubora wake tunaujuaje wakati hatujui chochote kumhusu?
au unatushawishi kufanya kitu tusichokijua tu kwa rushwa ya maneno eti tutapata faida ya sifa kama taifa?
 
Siasa bila unafki hainogi, huyu angetoka ukawa wala maswali mengi yasingekuwepo.
 
Back
Top Bottom