Shaa afunguka mengi kuhusu mapenzi yake na Master Jay

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281


Akihojiwa katika kipindi cha ng'ari ng'ari, Shaa alisema," mimi sikuwa sababu ya kuachana kwa wao wawili (master jay na mama watoto wake),kwani ugomvi au kuachana kwa watu wawili huwa inahusu wao.

Wenyewe wawili ila sio mtu watatu, na kwakuwa mimi nilikuwa nimetoka kutendwa ilichukua muda kidogo hadi kuja kuwa na mahusiano na Master Jay hata yeye pia aliniambia alikuwa na maumivu yake ndio mana ilichukua muda hadi kuwa na mahusiano. Hivyo kwanini niachie bahati yangu, nampenda sana Master J.

Mtangazaji: Huwa unapika ukiwa nyumbani, ilikumpagawisha mzee

Shaa: Nashukuru sana kwani Master anapenda sana kupika kwakweli na mara nyingi huwa anapika yeye kuliko mimi, na Inshalah namshukuru sana Mwenyezi Mungu
 
sasa alivyokuwa anakataaga.............watu toka enzi hizo tunajua

anakisanua na master lakin akiulizwa anabisha......leo naona kaamua kusema

ila master namuaminia wallah
 
Master kumbe kwl anapumzika kwa mtoto wa Kaisi heeeeee bora dada wa watu kafunguka maana yangefumuka mengi cku wamesukumana wakiwa chakaliii kwa JD
 
ah..ah.ah..niliwahi kusoma mahala aliulizwa hili suala akakataa...
 
wenyewe wawili ila sio mtu watatu, na kwakuwa mimi nilikuwa nimetoka kutendwa ilichukua muda kidogo hadi kuja kuwa na mahusiano na Master Jay hata yeye pia aliniambia alikuwa na maumivu yake ndio mana ilichukua muda hadi kuwa na mahusiano. Hivyo kwanini niachie bahati yangu, Nampenda sana Master"Mtangazaji: Huwa unapika ukiwa nyumbani, ilikumpagawisha mzee
Sound dizaini hiyo ukizi-frame vizuri, zinakuwa mbolea sana tu manake bi mdada ndo lazima akuhurumie "mhanga/muathirika" mwenzake! Na ukitaka matokeo ya faster, lazima utie maneno "sio siri Shaa, yaani hapa hata kuwa na demu kwa sasa naogopa ile mbaya, hata kufikiria sijafikiria kabisa..." kudadadeki, unampa hizo sound kumbe unamlia mingo na jana yake tu umekula mzigo!
 
apo kwenye red umetumia vigezo gani?


Aaaaa Mkuu wangu,
Wajua ukiwa mpitiaji sana wa lile Jukwaa kule chini mwisho kabisa, mambo kama haya unayajua automatically tu kaka!! Kule chini kabisa kuna makungwi wazoefu so mkao na muonekano wa huyu dada ni wazi shahiri kua ni mtaalamu.
 
Sound dizaini hiyo ukizi-frame vizuri, zinakuwa mbolea sana tu manake bi mdada ndo lazima akuhurumie "mhanga/muathirika" mwenzake! Na ukitaka matokeo ya faster, lazima utie maneno "sio siri Shaa, yaani hapa hata kuwa na demu kwa sasa naogopa ile mbaya, hata kufikiria sijafikiria kabisa..." kudadadeki, unampa hizo sound kumbe unamlia mingo na jana yake tu umekula mzigo!
Hizi za Kujifanya na wewe umetendwa nishazitumiaga sana kipindi fulani kwenye beach zetu hizi.

Nilikua naendaga kutega mingo ili kutafuta wadada ambao wako singo mitaa ile, akili ilikua ikinituma kua nikimuona mdada peke yake halafu yuko mahali kama beach hivi basi atakua ana stress zake anazipunguzia pale, so nama najifanya na mimi nina stress zangu kumbe nipo mawindoni.

Enzi hizo ukisikia Shark basi Shark kweli, siku hizi kumbe na wanawake nao wapo wa style yangu nao wako mawindoni, halafu ukichanganya na majukumu na umri vimenipiga speed governor.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom