Sh. 500 unakula mkoani tabora.hapo ulipo je?

Huku kwetu mia tano unapata kikombe cha chai ya rangi kavu. Ukitaka kitafunwa lazima uongeze 500 nyingine.
 
Mia tano huku inatosha chai ya rangi ya mkono mmoja japo salio linabaki ila Ukitaka vitafunwa inabidi ujiongeze


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hongera. Kaa hhukohuko uendelee kufaidi. kuhonga mabibi huko mnahonga bei gani ? elfu tano inapokelewa ?

mkuu huku nilipo ukitoa elfu 5 unaheshimika sana.mfano leo usiku nimekula sh 200.uji 1 na kiaz 1....maisha baridii iii
 
Hapa zanzibar 1000 ndo unapata urojo safi kwa maeneo ya kawaida na ukitaka na chapat uongeze 300
 
Ndio maana Sitta anapataga kura kirahisi huko mpaka sasa anafikiri anaweza kupata kura zote tz awe Rahisi wa nji hii.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom