SGR ya Kenya imefanya kazi kwa siku elfu moja tayari

Si first class tena?

ERnjM6HXYAAGy1k

Wenzetu walisema yao itafanya kazi mwaka jana, bado imekua stori na soga za Waswahili, naona wameomba mkopo wenye riba kubwa, ikizingatiwa Mchina alikua awape mkopo kwa mpigo mmoja na ajenge reli yote kote kote.
 
😱😱😱most of the things used for the entire kenya sgr project were imported from China and tax exemptedView attachment 1368874View attachment 1368892 meanwhile in tz only 1$ billion has been used so far View attachment 1368904

Huku washindani wetu bado wakiwa wanajenga reli yao ya Class C, SGR yetu ya class A inasherehekea siku 1,000 ya operesheni. Treni 18 hutumika kila siku.

Kinachotia moyo ni kwamba changamoto zinazidi kupungua, yaani 18 trains a day.....
 
Wenzetu walisema yao itafanya kazi mwaka jana, bado imekua stori na soga za Waswahili, naona wameomba mkopo wenye riba kubwa, ikizingatiwa Mchina alikua awape mkopo kwa mpigo mmoja na ajenge reli yote kote kote.
%ngapi riba kaka
 
LOL kwani hata ninyi si mliambiwa mtafikishiwa malaba? Mbona ipo porini pasipojulikana na mpo na Huyo Huyo mchina mpaka kesho?
 
Kwamba tuna kilomita zaidi ya 700km tunazozitumia yaani hiyo ni miujiza. Mchina kukubali kutujengea kiasi chote hiki yaani inabidi tushukuru sana.
Nyie hapo hata Dar to Moro imeshindikana, ilikua ianze kutumika mwaka jana, mumeishia stori na mikopo mikubwa na hakuna kinachoonekana.
Mturuki ni mtu ovyoo sana, naona ameingia kwenye ugomvi na Syria kule.
 
Huku washindani wetu bado wakiwa wanajenga reli yao ya Class C, SGR yetu ya class A inasherehekea siku 1,000 ya operesheni. Treni 18 hutumika kila siku.

1582801355285.png

Does that look like class C to you? Notice the overhead power lines. Kitu electric sio hiyo mikebe yenu!
 
LOL kwani hata ninyi si mliambiwa mtafikishiwa malaba? Mbona ipo porini pasipojulikana na mpo na Huyo Huyo mchina mpaka kesho?
Yetu tayari km 600 yenu hata km 100 haionekani sijiu mpo mbuga gani kando Ya Dar.
 
Halafu pia tunaiunga kwenye mikoa ya kati na pia JKIA, wakati nyie mnarubuni nchi kwa mikopo na hamna cha kuonyesha.
Hivi maccm mumejipanga vipi mwaka huu wa uchaguzi na hamna hata kimoja mlichokamilisha cha kutumia kuombea kura.
Sema Watanzania huwa wapo wapo tu, sio watu wa kuhoji chochote, na ndio mtaji wenu.
 
Tazama mzigo huo, mpaka unaingia kaburini Nchi yako haitakaa imiliki kitu kama hiki
IMG_20200218_181345.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom