SGR: What really happened here?

Kama hujui uliza na si kukurupuka .Hicho ni kichwa cha treni kimenunuliwa na YAPI MERKEZ kwa ajili ya kufanyia majaribio wakati wa ujenzi huwa ni vizito sana na imara sana na vipo ndani ya gharama ya ujenzi
KWA HIYO HUKU KUBINUKA NDO TEST YA UZITO AU STYLE YAKE KWAMBA INALALA KIUBAVU UBAVU HEBU NIJUZE
 
KWA HIYO HUKU KUBINUKA NDO TEST YA UZITO AU STYLE YAKE KWAMBA INALALA KIUBAVU UBAVU HEBU NIJUZE
HaaπŸ˜‚πŸ˜
Mpaka Chini.....Peleka Peleka Juu 😁😁😁😁
Chombo Ya Operation πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Hicho kichwa cha treni ni cha mkandarasi(Yapi Merkez), kimeletwa kwa shughuli za mkandarasi. Baada ya kushushwa bandalini kiliwekwa kwenye "accommodation bogie/ dummy bogie" ili kukokotwa kwenda kwenye kambi ya mkandarasi kupitia reli yetu ya zamani, hiyo ajari imetokea kwenye reli ya mgr
 
Tuliwacheka Wakenya tukisema inafanana ya ya miaka ile duh sisi tumetisha
Hiyo siyo yenyewe (siyo ya TRL), yamkini ni kwa ajili ya test na kusafirisha vifaa vya ujenzi. Kwanza imechapwa jina la mkandarasi.
 
Wengi hapa wakisikia SGR ya kenya haiendi sawa wanasikitika lakini wakisikia mambo hayaendi kwao hapa wanafurahi. sijui wa Tz tukoje?
 
Wengi hapa wakisikia SGR ya kenya haiendi sawa wanasikitika lakini wakisikia mambo hayaendi kwao hapa wanafurahi. sijui wa Tz tukoje?

Ni tasfiri ya kupungua Kwa Upendo kati ya watawala Na watawaliwa,thus watawala wakipata matatizo watawaliwa ufurahi Na kuombea yawapate mabaya zaidi.
 
Lakin jaman mnajua kuish Tanzania inataka moyo saana..unaweza pata heart attack bure...hahahhaa sasa ninin hiiv..na huyu bwana kwa nini aji selfie mbele ya hilo kobota lilianguka??
Mnhh...


Huyu jamaa aliyejiselfie anaweza tekwa apotee kabisa ktk uso wa dunia...
 
Back
Top Bottom