Ujenzi unaendelea hivi sasa wako Vingunguti mwezi wa 11 watakuwa Moro. Wareno wametoka kidogo.Ujenzi unaendelea? Maana hiyo ndiyo habari muhimu.
Binafsi mfatiliaji mzuri sana wa huu mradi wa SGR lakini nilisikia tu kuwa Yapi Merkezi na Motor Engine ya Ureno ndiyo wanajenga lakini sijawahi kuwaona Motor Engine tangia mradi uanze wala kuona gari lao au kifaa chochote kile naona Yapi Markezi ya Uturuki tu na nafikiri wao ndiyo wamechukua sehemu kubwa ya ujenzi na hata phase 2 ni Yapi Merkezi pekee watajenga labda tu Motor engine wao wanadili na issue nyingine.Jamani tulizoea kuona wa portugese kambi yao ngerengere wakijenga reli sasa hivi hata mmoja haonekani mbona hatuambiwi wamepotelea wapi?mwenye taarifa anaweza kutuelewesha?
sasa mabasi yetu tutapeleka wapi?Piga uwa mradi ufike morogoro kabla uchaguzi.
Nyie ndio mliyoua reli sasa mtakoma inafufuka.sasa mabasi yetu tutapeleka wapi?
malori yetu ya mizigo itakuwaje?
Magu hafwai kabsaaa
sio mimi boss.. was joking kwa niaba ya waliofanya hivyo... mimi kapuku nina baiskeli tuNyie ndio mliyoua reli sasa mtakoma inafufuka.
asante kwa taarifa hizo zilizofichwa na jiweWareno waliuacha mradi muda mrefu sana. Ila ipo chini ya mkeka. Kwa sasa wanaopiga mzigo ni waturuki peke yao. Inasemekana wareno hawakulipwa stahiki zao kama walivyokubaliana - wakafungasha kila kitu na kuondoka nchini.
Yapi Merkezi wanaweza kuwa wamepata guarantee kutoka kwa serikali yao (Uturuki) kwamba wasipolipwa na serikali yetu basi serikali yao itawalipa na kutudai sisi. Sidhani kama wareno walipata uhakika huo.
Wareno waliuacha mradi muda mrefu sana. Ila ipo chini ya mkeka. Kwa sasa wanaopiga mzigo ni waturuki peke yao. Inasemekana wareno hawakulipwa stahiki zao kama walivyokubaliana - wakafungasha kila kitu na kuondoka nchini.

Usidanganywe na mtu. Malori hayaendi popote; na yataendelea tu kupiga mzigo kama kawa.sasa mabasi yetu tutapeleka wapi?
malori yetu ya mizigo itakuwaje?
Magu hafwai kabsaaa
Wareno waliuacha mradi muda mrefu sana. Ila ipo chini ya mkeka. Kwa sasa wanaopiga mzigo ni waturuki peke yao. Inasemekana wareno hawakulipwa stahiki zao kama walivyokubaliana - wakafungasha kila kitu na kuondoka nchini.
Yapi Merkezi wanaweza kuwa wamepata guarantee kutoka kwa serikali yao (Uturuki) kwamba wasipolipwa na serikali yetu basi serikali yao itawalipa na kutudai sisi. Sidhani kama wareno walipata uhakika huo.
Mkuu Kalamu1, Asante kwa hii. hapa umesema jambo moja la maana sana kuhusu ujio wa SGR na hatma ya malori.Usidanganywe na mtu. Malori hayaendi popote; na yataendelea tu kupiga mzigo kama kawa.
Naomba tusibishane juu ya hili. Natoa ushahidi wa SGR ya jirani zetu Kaskazini na SGR yao ya mChina. Malori yapo na yanaendelea, licha ya kuwekewa mizengwe wanyimwe mizigo!
Sasa hivi unaambiwa kusafirisha kontena toka bandarini hadi Nairobi la futi 20 ni Ksh 142,,000/; na lile la futi 40 ni Ksh 142000/ , na bado kontena hilo hujalifikisha nyumbani au kiwandani maanake inabidi ukachukue mzigo wako kituoni.
Kusafirisha mizigo hiyo kwa lori gharama zake ni Ksh.65,000/ kwa kontena la futi 20; na Ksh.85000/ kwa lile la futi 40, na tena linafikishwa hadi nyumbani au kiwandani kwako.
Hebu niambie kama wewe ni mfanya biashara, utaachaje kwenda na lori.
Serikali ikiacha pawepo na ushindani wa kibiashara huru bila ya mizengwe ya kulazimisha baadhi ya mizigo isafirishwe kwa reli ili deni la ujenzi liweze kulipwa, reli hiyo ingekuwa ni mzigo kama ile aliyojenga Mwingereza.
Sasa sijui hapa kwetu tofauti yake itakuwaje! Lakini nina hakika malori hayatapotea barabarani; maana hata kule kwa mabeberu, kwa waChina, kwa waJapan hatuoni malori yakipotea barabarani.
Themagufulianz, imenibidi nikujibu kwa kirefu hivi, kwa sababu naona ushabiki wa kushangilia kila kitu umepungua. Tujaribu kupima mambo kwa uhalisi wake, na sio kwa misingi ya kushabikia tu!.
Tuendelee kujenga taifa letu kwa utulivu.
Nipe tofauti kati ya ureno na uturuki. Mbona kama umechanganya madesa.Wareno waliuacha mradi muda mrefu sana. Ila ipo chini ya mkeka. Kwa sasa wanaopiga mzigo ni waturuki peke yao. Inasemekana wareno hawakulipwa stahiki zao kama walivyokubaliana - wakafungasha kila kitu na kuondoka nchini.
Yapi Merkezi wanaweza kuwa wamepata guarantee kutoka kwa serikali yao (Uturuki) kwamba wasipolipwa na serikali yetu basi serikali yao itawalipa na kutudai sisi. Sidhani kama wareno walipata uhakika huo.
Uturuki ni Turkey kwa bwana Erdogan na Ureno ni Portugal kwa kina Cristiano Ronaldo... Uturuki ni dizain ya waarabi hiviNipe tofauti kati ya ureno na uturuki. Mbona kama umechanganya madesa.
Ureno=Portugal (uturuki).
Sent using Jamii Forums mobile app