SGR wajenzi wa Ureno wamepotelea wapi?

Sina haja na league za kitoto mdau, me naongea fact kutoka kwenye sector ya usafirishaji ulimwenguni, yaani ni research imefanyika kati ya aina zote za usafiri ambazo zinatumika Ulimwenguni kwa sasa train ni cheapest and effective, usafiri wa maji ni cheapest lakini ni slow

Train ni cheapest and effective sababu ndio usafiri wa ardhini wenye speed kubwa sana na wenye uwezo wa kubeba abiria wengi na mizigo mingi kuliko usafiri wowote ule, hauhitaji periodic maintenance na upo independent (njia ya reli ni train tu inapita) so kisa eti nauli London ni bei ghali hiyo haindoi fact kwamba eti train si chochote that's childish composition, mambo hayatafsiriwi hivyo mzee,

Train ina multiple powering options, inaweza kutumia umeme, liquid energies, steam, coal etc ni usafiri upi unaweza kua na versatile energy combustion?

Bongo tu train ya mwakyembe nauli ni kuanzia shilling 50, ulishaona wapi kwenye usafiri wowote nauli ni shilling 50? Behewa moja tu linabeba abiria in hundreds

The Cheapest Modes Of Transportation In The World
 
Povu la nini sasa? Na mimi naongea fact, nilikuwa napanda bus kukwepa nauli ya treni na ndio maana kwenye post yangu nimesema sehemu nyingine nauli ya treni ni kubwa kuliko bus. Sasa wewe kaa na hizo research zako halafu SGR ikianza Dar-Moro 50,000/- wakati Abood ni 10,000/- uje utuambie train ni cheap kuliko bus kwasababu ya hio research.
 
P

Paskali hakuna mtu angependa kulipia gharama kubwa kwa bidhaa anazosafisha kutumia chombo chochote cha usafirishaji.
Tuseme tu haipendwi SGR,au Roli la mizigo au Ndege,tunachofuata au kupenda ni unafuu,kasi,usalama wa mizigo yetu.
Ikitokea break through ya usafiri wa anga au reli ulionafuu na kasi kuliko wa sasa,ni wazi SGR,Itapelekwa makumbusho LAKINI KWA SASA SGR TENA YA UMEME NDIO HABARI YA MJINI.
Mwezi November majibu ya Dar Moro yatabandikwa .
Mkuu andaa sababu za kilichofanya mradi usikamilike ili ilifika November usihangaike sana kujitetea. November ni jirani sana tell haitafika Morogoro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa waandishi wa habari kama nyie Mayala hamtaki kuwaambia wananchi ukweli wa mambo ulivyo. Sielewi mnafanya hivi kwa ajili ya kukosa Knowledge au basi ni maamuzi yenu tu?

Mayala na waandishi wetu wa uswahilini mme base sana kwenye stories au informations kuhusu udaku udaku rather than scientific issues. Na mara nyingi habari zinazo husu makosa ya serikali yetu. Informations kama hizo zinuzika vizuri sana kuliko ukweli wa mambo halisi.

Tunajipumbaza sisi wenyewe kwa taarifa za aina hiyo moja mda wote. Lazima muwe mna alternate au ku-varry taarifa mnazozitoa kwa wananchi.

Nakusihi Mayala na waandishi wa habari wenzako wa usawahilini, pamoja na critics zote mnazo zitoa kuhusu serikali yetu, muwe pia mnawaeleza wafuasi wenu kuwa kuna mazuri pia ambayo yanatendeka na serikali yetu. Msipende tu kuwa feed watu mambo mabaya tu ya serikali kama kusimulia ubaya tu wa Magufuli, kana kwamba yeye ni Rais ambaye ni Monster. Mmesahau kuwa huyo Rais amechaguliwa na watanzania kwa misingi ya katiba yetu na ana haki ya kutawala nchi mpaka atakapo gombea tena na kushindwa au kumaliza mihula yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kuna ukweli fulani.
P
 
Back
Top Bottom