SGR ikikamilika Bila Bandari ya Bagamoyo malori yatalazimika kupaki

SGR ikikamilika inaweza kubeba mizigo yote ya Bandari ya Dar es Salaam kwa siku 250 Tu,

Kama SGR itakamilika bila ya Bandari ya Bagamoyo kujengwa basi Malori yote ya mizigo mnayoyaona hapa nchini yatalazimika kupaki

Iko hivi,treni moja ya mizigo ya SGR inauwezo wa kubeba Jumla ya Tani elfu 10 karibu sawa na Malori 500 kwa Safari moja,

TRC ikiwa na Treni mbili tu za mizigo zinazopishana kwa kila siku basi tutasafirisha Jumla ya Tani elfu 20 kwa siku moja sawa na Malori 1,000.

Nimejaribu kutafuta wastani wa mizigo iliyopakuliwa pale bandari ya Dar es salaam kati ya mwaka 2016|2020 nimepata ni wastani wa Jumla ya Tani milioni tano (5M)

Kwamsiofahamu, 98% ya mizigo yote inayoingia na kutoka Tanzania na nchi jirani inapitia bandari ya Dar es Salaam,

Tujiulize, Kama tani elfu 20 kwa SGR zinaweza kubebwa kwa siku moja kwa kutumia treni mbili za SGR zinazopishana,

Je hizi tani 5M zinazopakuliwa pale bandari ya Dar es salaam kwa mwaka mzima zitabebwa kwa muda gan kwa kutumia hii SGR?

Fanya hivi,gawanya tani 5M kwa tani elfu 20 utapata Jumla ya siku 250 za kuisafirisha mizigo yote ya mwaka ya bandari ya Dar es salaam kwa kutumia SGR,

Mkumbuke kuwa, Safari ya Treni ya Mzigo toka Dar -Mwanza ni wastani wa masaa tisa ( 9 ) wakati Safari ya Lori ni zaidi ya masaa 48,

Lakini pia,bei ya kusafirisha mizigo kwa SGR ni ndogo kuliko ile ya Lori na Usalama wa mzigo kwenye SGR ni mkubwa kuliko ule wa kwenye Lori,

Sikia,Nimfanyabiashara mjinga tu ndio anaweza kuacha kupakia SGR yenye nafasi akapakia mzigo kwenye Lori

Sababu pekee inayoweza kuyanusuru haya Malori yetu ni kuwa na bandari nyingine kubwa itakayokuwa na uwezo mkubwa wa kushusha mizigo mingi zaidi ya ile ya Dar es salaam ili SGR ibebe na isaze na Malori ya bebe pia,

Kama hili halitafanyika kuna watu wengi mnakwenda kukosa ajira zenu hapo baadae kidogo,

Nadhani hii ni moja ya sababu ya kwanini Rais Samia anataka bandari hii ijengwe tena kwa haraka kabla ya kumalizika kwa SGR,

NB, Mnaolalamika kuhusu Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo rudieni tena kusoma andiko hili kwa makini
Rubbish
 
Wewe ni muumini wa lazima bandari ya bagamoyo ijengwe. Kususiwa kwa bandari ya dar ni matokeo yakuchelewa mizigo. Mizigo ikiondoka mapema, ufanisi huo utavuta mizigo. Kina kimeongezwa kuruhusu meli kubwa kuleta mizigo mingi. Bandari ya bagamoyo ni ufisadi.
 
SGR ikikamilika inaweza kubeba mizigo yote ya Bandari ya Dar es Salaam kwa siku 250 Tu,

Kama SGR itakamilika bila ya Bandari ya Bagamoyo kujengwa basi Malori yote ya mizigo mnayoyaona hapa nchini yatalazimika kupaki

Iko hivi,treni moja ya mizigo ya SGR inauwezo wa kubeba Jumla ya Tani elfu 10 karibu sawa na Malori 500 kwa Safari moja,

TRC ikiwa na Treni mbili tu za mizigo zinazopishana kwa kila siku basi tutasafirisha Jumla ya Tani elfu 20 kwa siku moja sawa na Malori 1,000.

Nimejaribu kutafuta wastani wa mizigo iliyopakuliwa pale bandari ya Dar es salaam kati ya mwaka 2016|2020 nimepata ni wastani wa Jumla ya Tani milioni tano (5M)

Kwamsiofahamu, 98% ya mizigo yote inayoingia na kutoka Tanzania na nchi jirani inapitia bandari ya Dar es Salaam,

Tujiulize, Kama tani elfu 20 kwa SGR zinaweza kubebwa kwa siku moja kwa kutumia treni mbili za SGR zinazopishana,

Je hizi tani 5M zinazopakuliwa pale bandari ya Dar es salaam kwa mwaka mzima zitabebwa kwa muda gan kwa kutumia hii SGR?

Fanya hivi,gawanya tani 5M kwa tani elfu 20 utapata Jumla ya siku 250 za kuisafirisha mizigo yote ya mwaka ya bandari ya Dar es salaam kwa kutumia SGR,

Mkumbuke kuwa, Safari ya Treni ya Mzigo toka Dar -Mwanza ni wastani wa masaa tisa ( 9 ) wakati Safari ya Lori ni zaidi ya masaa 48,

Lakini pia,bei ya kusafirisha mizigo kwa SGR ni ndogo kuliko ile ya Lori na Usalama wa mzigo kwenye SGR ni mkubwa kuliko ule wa kwenye Lori,

Sikia,Nimfanyabiashara mjinga tu ndio anaweza kuacha kupakia SGR yenye nafasi akapakia mzigo kwenye Lori

Sababu pekee inayoweza kuyanusuru haya Malori yetu ni kuwa na bandari nyingine kubwa itakayokuwa na uwezo mkubwa wa kushusha mizigo mingi zaidi ya ile ya Dar es salaam ili SGR ibebe na isaze na Malori ya bebe pia,

Kama hili halitafanyika kuna watu wengi mnakwenda kukosa ajira zenu hapo baadae kidogo,

Nadhani hii ni moja ya sababu ya kwanini Rais Samia anataka bandari hii ijengwe tena kwa haraka kabla ya kumalizika kwa SGR,

NB, Mnaolalamika kuhusu Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo rudieni tena kusoma andiko hili kwa makini
Kaziindelee Tanzania
 
Malori hayawezi kupaki kisa vichwa viwili vya Treni kwa sababu zifuatazo.
1.Ushindani; SGR ikiwa na bei ndogo italazimisha wafirishaji wa malori kushusha bei ya usafirishaji.
2.Ukarabati; kulingana na maisha ya kuagiza vitu nje na hatutengenezi wenyewe, gharama za ukarabati wa treni zitaleta shida na safari zitaanza kusuasua na kuchelewa.
3.Uwezo wa kufaulisha Mzigo; kufaulisha mzigo kwa Treni si rahisi hasa kama itaharibika ikiwa na mzigo.
4.Uwezekano wa Kugoma; endapo wafanyakazi wa SGR hawatapewa stahiki kwa muda wakigoma wataleta usumbufu.
5.Thamani; si kila mzigo utafaa kusafirishwa kwa kurumia SGR..
 
Umeandika vizuri ila ukweli ni kidogo sana
 
SGR ikikamilika inaweza kubeba mizigo yote ya Bandari ya Dar es Salaam kwa siku 250 Tu,

Kama SGR itakamilika bila ya Bandari ya Bagamoyo kujengwa basi Malori yote ya mizigo mnayoyaona hapa nchini yatalazimika kupaki

Iko hivi,treni moja ya mizigo ya SGR inauwezo wa kubeba Jumla ya Tani elfu 10 karibu sawa na Malori 500 kwa Safari moja,

TRC ikiwa na Treni mbili tu za mizigo zinazopishana kwa kila siku basi tutasafirisha Jumla ya Tani elfu 20 kwa siku moja sawa na Malori 1,000.

Nimejaribu kutafuta wastani wa mizigo iliyopakuliwa pale bandari ya Dar es salaam kati ya mwaka 2016|2020 nimepata ni wastani wa Jumla ya Tani milioni tano (5M)

Kwamsiofahamu, 98% ya mizigo yote inayoingia na kutoka Tanzania na nchi jirani inapitia bandari ya Dar es Salaam,

Tujiulize, Kama tani elfu 20 kwa SGR zinaweza kubebwa kwa siku moja kwa kutumia treni mbili za SGR zinazopishana,

Je hizi tani 5M zinazopakuliwa pale bandari ya Dar es salaam kwa mwaka mzima zitabebwa kwa muda gan kwa kutumia hii SGR?

Fanya hivi,gawanya tani 5M kwa tani elfu 20 utapata Jumla ya siku 250 za kuisafirisha mizigo yote ya mwaka ya bandari ya Dar es salaam kwa kutumia SGR,

Mkumbuke kuwa, Safari ya Treni ya Mzigo toka Dar -Mwanza ni wastani wa masaa tisa ( 9 ) wakati Safari ya Lori ni zaidi ya masaa 48,

Lakini pia,bei ya kusafirisha mizigo kwa SGR ni ndogo kuliko ile ya Lori na Usalama wa mzigo kwenye SGR ni mkubwa kuliko ule wa kwenye Lori,

Sikia,Nimfanyabiashara mjinga tu ndio anaweza kuacha kupakia SGR yenye nafasi akapakia mzigo kwenye Lori

Sababu pekee inayoweza kuyanusuru haya Malori yetu ni kuwa na bandari nyingine kubwa itakayokuwa na uwezo mkubwa wa kushusha mizigo mingi zaidi ya ile ya Dar es salaam ili SGR ibebe na isaze na Malori ya bebe pia,

Kama hili halitafanyika kuna watu wengi mnakwenda kukosa ajira zenu hapo baadae kidogo,

Nadhani hii ni moja ya sababu ya kwanini Rais Samia anataka bandari hii ijengwe tena kwa haraka kabla ya kumalizika kwa SGR,

NB, Mnaolalamika kuhusu Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo rudieni tena kusoma andiko hili kwa makini
expand...
#nakupenda Tanzania

Quote Reply
Report Edit Delete
 
Umeshajiuliza kuwa reli ya sasa ina uwezo wa kubeba mzigo kiasi gani na ni kiasi gani chamizigo unapita kwenye reli as compared na kile kinachopita kwenye malori?

Kimsingi ulichokifanya ni kama kile kilimo cha matikiti kwenye karatasi.

Uhalisia hauko kama unavyo ongea. Shippers wana prefer malory kuliko train kwa sababu mbalimbali. Google ujielimishe
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Kwani kinacho fanya kusiwe ma mizigo ya tani mara mbili ya inayoletwa sasa hivi ni kwa sababu uduni wa usafiri !? Au Unataka kusema Hiyo bandari ya bagamoyo italeta wateja na watumiaji wapya mara mbili yake tofauti na hao waliopo sasa!??? Acheni kucheza na hisia za watanzania mbwa nyie.
CHADEMA HII NCHI NI YETU SOTE
 
SGR ikikamilika inaweza kubeba mizigo yote ya Bandari ya Dar es Salaam kwa siku 250 Tu,

Kama SGR itakamilika bila ya Bandari ya Bagamoyo kujengwa basi Malori yote ya mizigo mnayoyaona hapa nchini yatalazimika kupaki

Iko hivi,treni moja ya mizigo ya SGR inauwezo wa kubeba Jumla ya Tani elfu 10 karibu sawa na Malori 500 kwa Safari moja,

TRC ikiwa na Treni mbili tu za mizigo zinazopishana kwa kila siku basi tutasafirisha Jumla ya Tani elfu 20 kwa siku moja sawa na Malori 1,000.

Nimejaribu kutafuta wastani wa mizigo iliyopakuliwa pale bandari ya Dar es salaam kati ya mwaka 2016|2020 nimepata ni wastani wa Jumla ya Tani milioni tano (5M)

Kwamsiofahamu, 98% ya mizigo yote inayoingia na kutoka Tanzania na nchi jirani inapitia bandari ya Dar es Salaam,

Tujiulize, Kama tani elfu 20 kwa SGR zinaweza kubebwa kwa siku moja kwa kutumia treni mbili za SGR zinazopishana,

Je hizi tani 5M zinazopakuliwa pale bandari ya Dar es salaam kwa mwaka mzima zitabebwa kwa muda gan kwa kutumia hii SGR?

Fanya hivi,gawanya tani 5M kwa tani elfu 20 utapata Jumla ya siku 250 za kuisafirisha mizigo yote ya mwaka ya bandari ya Dar es salaam kwa kutumia SGR,

Mkumbuke kuwa, Safari ya Treni ya Mzigo toka Dar -Mwanza ni wastani wa masaa tisa ( 9 ) wakati Safari ya Lori ni zaidi ya masaa 48,

Lakini pia,bei ya kusafirisha mizigo kwa SGR ni ndogo kuliko ile ya Lori na Usalama wa mzigo kwenye SGR ni mkubwa kuliko ule wa kwenye Lori,

Sikia,Nimfanyabiashara mjinga tu ndio anaweza kuacha kupakia SGR yenye nafasi akapakia mzigo kwenye Lori

Sababu pekee inayoweza kuyanusuru haya Malori yetu ni kuwa na bandari nyingine kubwa itakayokuwa na uwezo mkubwa wa kushusha mizigo mingi zaidi ya ile ya Dar es salaam ili SGR ibebe na isaze na Malori ya bebe pia,

Kama hili halitafanyika kuna watu wengi mnakwenda kukosa ajira zenu hapo baadae kidogo,

Nadhani hii ni moja ya sababu ya kwanini Rais Samia anataka bandari hii ijengwe tena kwa haraka kabla ya kumalizika kwa SGR,

NB, Mnaolalamika kuhusu Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo rudieni tena kusoma andiko hili kwa makini
Mizigo hyo yoote umetaja, umesahau kwamba SGR haipiti kwenda Zambia, na hatimaye nchi zinazopakana na Zambia hazitatumia SGR, punguza uongo
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Team JF,

MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Back
Top Bottom