SGR ikikamilika Bila Bandari ya Bagamoyo malori yatalazimika kupaki

Napenda kukuhakikishia tena, Kuna watanzania wenye weledi mkubwa sana kwa sasa na wanapenda nchi iendelee mambo mengi ya kihuni yamepitwa na wakati hata wizi wa kijinga umepotea sababu watu walizoea kuiba kijinga kwa cash, sasa hivi hata rushwa ukila lazima mradi uende na kwa kiwango kilekile na kwa pesa ileile.

Labda watu wamezoea wale wazee ambao hata kuwasha laptop ilikuwa shida. Kaka, siku hizi tuna vijana wamekulia kwenye technology na wanafanya kazi kwa weledi rushwa utanipa ukitaka mwenyewe ila Kama unadeserve kupewa project utapewa sasa rushwa yako usifanye kuniharibia kazi.

Ni kwamba hela yako nakula ila mradi nahakikisha upo vilevile hapa tunachofanya tunagawana faida yako, if ukidhani nitakubeba simply umenipa sehemu ya faida yako you are seriously mistaken and in big trouble.

Nawafundisha madogo namna ya kula hela bila kuacha nyayo.
Okey Safi kabisa kama mambo ni hivyo kaka.
 
Ushauri Serikali itafute mwekezaji wa uhakika wa kujenga na kuendesha sgr ya umeme kuunganisha dodoma - arusha- moshi - tanga yenyewe ichukue hisa .
Wataweza kupatikana kundi la wawekezaji wakatekeleza huo mradi.
Faida zake:
Safari za utalii zitaongezeka
Safari za kibiashara zitaongezeka
Maendeleo ya miji Hii yataongezeka Kwenye kipato
Bandari ya Tanga itapanuka na kuwa mshindani wa mombasa.
Ajira zitaongezeka
Jambo jema pia hili
 
Back
Top Bottom