SGR: Dar - Mor - Dodoma

CHLOVEK

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
534
1,000
Wale wote mliowekeza vyombo vya usafiri njia hiyo, anzeni kutafuta biashara nyingine za kufanya.
Madereva wa malori na mabasi anzeni kujifunza stadi mpya. Hii ni tahadhari tu. Nchi hii haitaisha vilio kutoka kwa wanyonge.
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
30,255
2,000
Wale wote mliowekeza vyombo vya usafiri njia hiyo, anzeni kutafuta biashara nyingine za kufanya.
Madereva wa malori na mabasi anzeni kujifunza stadi mpya. Hii ni tahadhari tu. Nchi hii haitaisha vilio kutoka kwa wanyonge.
Kenya mabasi na malori bado yanafanya na SGR ipo Mombasa hadi Nairobi.
 
Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
17,108
2,000
Wale wote mliowekeza vyombo vya usafiri njia hiyo, anzeni kutafuta biashara nyingine za kufanya.
Madereva wa malori na mabasi anzeni kujifunza stadi mpya. Hii ni tahadhari tu. Nchi hii haitaisha vilio kutoka kwa wanyonge.
Hayo magari yataenda sehemu nyingine ambako hayaendi kwa wakati huu.
Hakuna kitu kipya hapo. Zilikuwepo Chai Maharage wakati huo. Canter zikibeba Abiria mjini Dar. Ujio wa Hiace na Coaster ulifanya Canter ziende shamba bila shuruti.
Akina Abood, BM na Hood kama bado yupo, bila shaka wamejipanga vilivyo
 
kigogo warioba

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
5,981
2,000
kama treni itakua ina bei kubwa kidogo tu watu wengi hawatapanda labda mtu atapanda kwa majaribio tena mara moja ya pili harudii.! Si unajua wabongo?
 
balimar

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
6,123
2,000
Iliwahi kunenwa msimu huu upinzani utakufa naona ndio upo na unaimarika zaidi. Wale wa uchumi wanajua kahoja Fulani hivi; why small firms survive along the large firms?
Infact, hamna jipya mulemule na kitu ni chilechile tu.
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
17,943
2,000
Wale wote mliowekeza vyombo vya usafiri njia hiyo, anzeni kutafuta biashara nyingine za kufanya.
Madereva wa malori na mabasi anzeni kujifunza stadi mpya. Hii ni tahadhari tu. Nchi hii haitaisha vilio kutoka kwa wanyonge.

Mradi unahujumiwa na walinzi wakishirikiana na madereva

Nimesikia kuna lita 500 za mafuta zimekamatwa zikiwa zimeibwa kwenye kambi ya ujenzi wa SGR Ngerengere Morogoro
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom