Elections 2010 SFO yakanusha Taarifa ya PCCB! Suala la Chenge bado halijaisha!

****-kuru,Hosea,Chengwe na wapumbavu wengine woote ni criminals,kwa nchi ambayo inafuata utawala wa sheria na haki za binadamu hiyo ****-kuru inafutwa na hosea anachunguzwa...
 
Hivi tuna rais kweli? Kwa nini alikubali aibu hii kujitokeza? Nionavyo mimi huyu 'rais' wetu hana mamlaka yoyote, mamlaka yako kwa wengine, nasikia wahindi kama wanne hivi na 'mzalendo' mmoja -- ndiyo wanamsukuma saa zote, na ndiyo waligharamia kampeni za mabango ya kufuru, wakijua mtu wao hauziki safari hii!

Eee Mungu, polepole unaanza kusikia kilio cha wapenda haki, usitutupe!
 
Source ya habari please!

Inaelekea hujui kusoma na kuelewa kizungu cha uingereza.... Source ni ubalozi wa uingereza na hiyo ni kwa ajili ya wana habari na kuna namba za simu za ubalozi piga uliza. Au we mke wa chenge nini umeingia woga unajifanya hauamini habari ambayo ni halisi.
 
Hivi tuna rais kweli? Kwa nini alikubali aibu hii kujitokeza? Nionavyo mimi huyu 'rais' wetu hana mamlaka yoyote, mamlaka yako kwa wengine, nasikia wahindi kama wanne hivi na 'mzalendo' mmoja -- ndiyo wanamsukuma saa zote, na ndiyo waligharamia kampeni za mabango ya kufuru, wakijua mtu wao hauziki safari hii!

Eee Mungu, polepole unaanza kusikia kilio cha wapenda haki, usitutupe!


Penye red:

Nakubaliana nawe hapo. Angekuwa na mamlaka, angeweza kumstopisha Chenge asichukue fome, au angemuamuru ajitoe. Mi nadhani mafisadi hao uliowataja wanataka kum-jaribu JK kama baada ya kuhakikisha anarudi Ikulu, jee bado yuko nao, au anawatosa sasa?
 
CCM WAMESHIKWA PABAYA......
LAZIMA PATACHIMBIKA!!!!!!!!:smile-big::nono::nono::nono:
 
hahaha nyoka amewekewa yai la kuchemsha na ameshalimeza
huo mpasuko wake ni mtafutano
 
Na leo katika Raia Mwema kuna stori iliyosema kwamba taasisi moja ya hapa chini, (bila shaka ni PCCB) iliiandikia barua, Sep 20 mwaka huu, kwa ubalozi wa uingereza "ikihoji mambo mawili makubwa. Kwanza ilihoji Tanzania itapata kiasi gani cha fedha kutoka katika kampuni iliyoiuzia rada kwa bei ya kuruka, na pili -- lini fedha hizo zitalipwa Tanzania."

Yaani hawa jamaa wala hawakutaka kujulishwa lini kutaletwa ushahidi wa tuhuma dhidi ya Chenge kwa ajili ya kuanza kumfungulia kesi hapa!!!
 
And we will be very surprised!!! Kikwete will play dead hata kwenye hili,

I am in a state of delusion
 
hahaha nyoka amewekewa yai la kuchemsha na ameshalimeza
huo mpasuko wake ni mtafutano

Heshima kwako Msanii,

Mkuu kule kwetu tulikuwa tunawategea Kenge mayai ya kuchemsha kumbe hata nyoka wamo kwenye mkumbo huo duh.Nina hamu kusikia mzee wa Vijisenti atabwabwabaja nini unajua hakose la kusema.Halafu kuna huyu dubwana Hosea wa PCCB sijui atamruka msemaji wake au atakuja na ngonjera gani najaribu kupata picha nashindwa laiti ningekuwa na uwezo wa kusukuma siku mbele hakika siku ya leo ningeifupisha.

Strategic za Lowasa na wapambe wake itakuwa imetwangwa ngumi za pua muda uliobaki ni mdogo sana kutafuta mtu wao wa kulinda maslahi yao.
 
Mimi naamini Hosea na wenzake matumbo ni ya moto baada ya hii press release. Binafsi naomba Mungu wa yerusalemu atusaidie watanganyika ili waingereza waamue kupeleka mafisadi mahakamani na hapo Chenge na wenzake watiwe korokoroni.
 
Sipendi kusikia
  • TAKUKURU
  • NEC
  • Usalama wa Taifa wa ccm
  • Wizara ya Mali asili na madini
kwani ni njia mojawapo ya kuhalalisha wizi kwa kutumia vyombo hivi huku vikitumia kodi za watu kutumbua pesa kwa kulipwa mishahara mizuri na kuendeleza wimbi la kufulisi nchi
 

Its simply a shame to Prasident Kikwete...!!

With his PCCB...

and

Allowing Chenge the Fisadi...
to enjoy all the media game, playing...against Samwel Sita!
Chenge must withdraw immediately...from contesting ....
 
Walishatufanya Watanzania kuwa kama Wamarekani, kwamba hatujui chochote kinachoendelea huko ughaibuni, haohao iko siku watatuambia kwamba Haiti ni tishio kwetu lazima tufanyizie...:A S angry:

Wachina, ilifikia wakati wakachoka ndipo palipopatikana lile GENGE LA WATU 8
 
PressRelease-BHC.jpg


Wakati PCCB wamemshafisha Chenge kwenye kadhia ya Radar kuwa suala hilo limekwisha na Chenge hahusiki, SFO wenyewe wamekanusha kuisha kwa suala hilo na kueleza litatinga mahakama kuu ya Uingereza mwishoni mwa mwezi huu na huko ndiko suala litaamuliwa kama limekwisha au laa.

Taarifa kutoka ubalozi wa Uingereza kwa vyombo vya habari, umeweka wazi kila kitu kuwa kadhia hiyo bado haijakwisha.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kitu ambacho kimekubaliwa kuwa kimekwisha, ni uchunguzi dhidi ya kadhia hiyo ndio umemalizika baada ya BAE kukubali wamegawa rushwa, ila badala ya kuwataja waliowagawia, wamekubali kulipa faini ambayo serikali ya Tanzania, itarudishiwa lile fungu lililokamuliwa ili wakubwa wale.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo ya ubalozini, Mahakama ya Uingereza, inaweza kuamua kuwa hawakubali faini hiyo kulipwa, bali wakalazimisha lazima majina ya walarushwa yatajwe badala na kuzibwa midomo kwa faini na fidia, na kama itakuwa ndio hivyo, tuhuma za Chenge kwenye kadhia hiyo zinabaki kuwa bado ziko pale pale?.

Kama taarifa hii ya ubalozi wa Uingereza ni ya kweli, crdedibility ya PCCB yetu kwenye kuwasafisha mafisadi iko wapi?.

Imani yangu ni kuwa hili jambo ni kweli limeisha, ninavyojua UK kama lingekuwa lipo Chenge siku nyingi angeshakuwa kaburuzwa mahakamani huko UK. Hapa ni bla bla tu,hili jambo halipo tena!
 
Yote kwa yote the most corrupt guy na mbaya kushinda maelezo ni hOsea, Hiki kiburi anakipata wapi? Mkumbuke yeye ndiye aliwekea ngumu utekelezaji wa maamzi ya Richmond. Ni mtu mdogo sana nchi bila shaka kuna nguvu kubwa nyuma yake. Hawezi kutuchezea akili namna hii, yeye ni mahakama!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom