Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,178
- 7,319
Nahisi kuna mahali tunakosea. Hii kusema mambo ya mapenzi yasifundishwe shuleni tunakosea. Matatizo yanayotokea siku hizi katika mahusiano sio ya kupuuzia. Kama tunafundishana biashara, kilimo, ufundi nk, lazima pia tujali kuwa watu wanawekeza mahela mengi na muda mrefu kwenye mapenzi huku wakikosa ujuzi kwenye hayo mambo.
Hata ukisoma tu hapa jf utagundua yapo matatizo mengi ya kimapenzi yanayotokana na watu kukosa kujua just simple principles za mapenzi. ..
kuna umuhimu somo la mapenzi kuingia somewhere katika syllabus. ..