Sexologist au yeyote mwenye uzoefu na hili jambo naomba majibu

Darmian

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
17,191
46,235
Hi everyone!

Wana MMU naomba ni-adress jambo moja ambalo nishakutana nalo mara kadhaa na linanichanganya kidogo.

Wakati na ku-sex (foreplay or penetration) kuna muda mwanamke huwa anasema anataka kwenda chooni kukojoa. Mimi huwa nawazuia ila huwa wanaendelea kulalamika kuwa wanataka kwenda ku-pee.

Huwa nawazuia nikiwa najua kuwa huyu atakuwa anataka ku-squirt ila yeye anadhani ni mkojo wa kawaida.

Kuna sehemu nilisoma ila sikumbuki ni wapi,nilisoma kuwa mwanamke akiwa anafika kileleni misuli ya uke huwa inabana na kuiminya ureter.

Swali ni je, hili ndo jibu sahihi au ni kwamba inakuwa ni squirt ila wenyewe wanakuwa wanadhani ni mkojo wa kawaida na wanaogopa kujiachia wakojoe?

Karibuni wakuu.
 
Darmian, Ku-squirt hawezi kuomba kwenda kukojoa kwa sababu ile hali ya ku-squirt haiji kama anataka kukojoa mkojo wa kawaida. Ile huwa inatoka automatically baada ya hisia kuwa ktk kiwango cha juu sana..na akianza kumwaga hisia zinakuwa mara 1000 zaidi hapo atataka usugue zaidi lile eneo ili amwage zaidi.

Yale maji me huwa sielewi huwa yanahifadhiwa wapi,maana mwanamke akiwa kwenye hisia na ww ukawa vizuri kuendeleza hizo hisia..aisee anaweza kumwaga litre hata 20 easy kabisaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina exprience mbili tofauti..kuna wanaobakia kitandani for a while na wataenda washroom baadae kidogo(maybe kujiosha na sio kukojoa) na kuna wanaoenda right after finishing..

1. Hawasquirt na hawaendi kukojoa baada ya hapo: nasubiri mwongozo kwa watalaamu.

2. Hawasquirt, ila wanaenda kukojoa immediately: nadhani hii ni jibu kwamba ni kweli walikuwa wamebanwa.

So, tusubiri wataalam kwenye scenario ya 1.

NB: Nikianza haya mambo nitakuwa na jibu la kiuzoefu, ngoja nisubiri wakati wangu.
 
Ku-squirt hawezi kuomba kwenda kukojoa kwa sababu ile hali ya ku-squirt haiji kama anataka kukojoa mkojo wa kawaida. Ile huwa inatoka automatically baada ya hisia kuwa ktk kiwango cha juu sana..na akianza kumwaga hisia zinakuwa mara 1000 zaidi hapo atataka usugue zaidi lile eneo ili amwage zaidi.

Yale maji me huwa sielewi huwa yanahifadhiwa wapi,maana mwanamke akiwa kwenye hisia na ww ukawa vizuri kuendeleza hizo hisia..aisee anaweza kumwaga litre hata 20 easy kabisaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mwanamke?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyo ata mm shakutanaga nao ila ile sio kusquirt ni kukojoa tu kawaida na huwatokea baada ya ww mchakataji kukandamiza kwamda kibofu cha mkojo..

Hyo ya kusquirt kuna manzi mmoja kidogo nimnase vibao na tangu siku ile nlikata mawasiliano nae, haiwezekani nilipie lodge bei ghali alafu nilale nikiwa nimekaa usiku wote ule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha..ulikosea bhana kumnasa vibao..ulitaka afanye nini??

Back
Top Bottom