Evarm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 1,934
- 1,400
Kuna tukio moja nimeliona hivi karibuni hapa mtaani kwetu, kuna dada mmoja alikuwa ana bf wake wa siku nyingi sana na ikatokea yule dada anachumbiwa na mtu mwingine kabisa na ana nia nzuri ya kumuoa awe naye maishani hivyo akavishwa pete na kufuata taratibu zote ili amuoe(Sijui km alishaachana na bf wake au la).
Cha ajabu ile Usiku wa kuamkia siku ya harusi yule dada alikuwa kwa bf wake (Sijui alikuwa anampa cha "kuagia" au cha "mwishomwisho") hadi mchana wa siku ya harusi, ndugu wa dada walikuwa busy kumtafuta kwenye ile saluni kwa ajili ya picha na video kama ukumbusho na kama mida ya saa nane mchana ndo anaonekana na watu wote walipomuuliza ulikuwa wapi hatoi jibu sahihi anajiumauma hivyo akapambwa special kwa harusi ya saa kumi ya alasiri ya siku hiyo.
Ninachojaribu kujiuliza je ni sahihi dada/kaka kupata cha "kuagia" (yaani kudo na exbf au xgf soon before marriage with someone else) au ndo kwenda na wakati huku. Ninaomba wadau tuchangie manake kuna possibility kubwa huyo dada akashika mimba ya xbf na kumsingizia ni ya mme wake (Lakini kama hawakutumia condom).