Sex for grades

Gitarijosenga

JF-Expert Member
Aug 3, 2019
276
273
Ama wabongo wanaziita degree za chupi ,ni tatizo LA Africa tu ama wenzetu wazungu bado li awasumbua,kama umeangalia documentary ya BBC kuhusu tatizo hili Africa ,inaonesha shida ni kubwa sana kwa walimu wetu mavyuoni ,

Nina maswali yafuatayo
1.Je umewah kukutana na Lisa cha degree za chupi chuoni?
2.Waandishi wetu wanakwamba wapi na investigative journalism na Ku expose vitu kama hivi ?
 
Hamna cha uhain ,Serikal ni sikivu ukipambana na rushwa hakuna atake kushtak ,waandishi wetu vi.laza tu
 
Back
Top Bottom