Several Kenyan Women from PCEA church THIKA killed in Tanga,Tanzania Accident | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Several Kenyan Women from PCEA church THIKA killed in Tanga,Tanzania Accident

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by kayundi2, Aug 10, 2012.

 1. k

  kayundi2 JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  11 Kenyans dead in Tanzania road crash

  [​IMG]

  By NATION Reporter
  Posted Friday, August 10 2012 at 09:28

  Eleven Kenyan church faithful died Friday after an accident involving two buses in Tanzania.

  Many others from the Presbyterian Church of East Africa (PCEA) Thika Women's Guild are believed injured.

  A church official confirmed the number of those dead and but could not immediately put a figure on the injured.

  He said 81 people were on board the buses.

  The women's group was headed to the Tanzanian capital, Dar es Salaam for a retreat when the accident occurred at Chalinge, 20 kilometres from Tanga at around 5.30am Friday.

  According to eyewitnesses, one of the buses apparently stalled and its occupants called for help from colleagues on the other vehicle.

  Reports indicate that the bus turned back in response to the distress calls.

  At the scene, a truck rammed both buses from behind.

  Rescue efforts are underway.

  http://www.nation.co.ke/News/11+Kenyans+dead+in+Tanzania+road+crash/-/1056/1475984/-/yx1nc1z/-/index.html
   
 2. Dhuks

  Dhuks JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 1,471
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 180
  R.I.P :israel:I thought high road fatalities were a Kenyan phenomenon.
   
 3. j

  julietkibisa New Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Julieth Ngarabali,Pwani.
  WATU 11 wote wanawake wanaoaminika kuwa raia wa Kenya wamekufa na wengine 25 kujeruhiwa kati yao saba mahututi baada ya mabasi mawili waliokuwa wakisafiria kutoka Naironi kupinduka katika kijiji cha Makole wilayani Bagamoyo mkoani Pwani wakati raia hao wakiwa njiani kuelekea kwenye tamasha la uimbaji Kwaya jijini Dar esalaam  Ajali hiyo iliyoelezwa kuwa ni mbaya imetokea majira ya saa 11 alfajiri ya Agosti 10 kijijini hapo na kwamba imehusisha magari manne mawili kati yake yakiwa ni mabasi hayo mali ya Kenya yenye namba KBQ 203 P na KBL 044 M yote aina ya Isuzu basi na mengine ni malori mawili mali ya Tanzania yenye namba T 229 ASP /T 785 ASX Scania na T 272 DWZ / T 449 PVW


  Tukio hilo pia lilisababisha kufunga barabara kuu ya Chalinze Segera kwa zaidi ya saa nane hivyo abiria waliokuwa wakisafiri kuelekea na kutoka mikoa ya Kaskazini ikiwemo nchi ya Kenya kwenda na kutoka Dar esalam kuweka kambi njiani kwa zaidi ya saa hizo nane.  Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Pwani E rnest Mangu raia hao wa Kenya ni waumini wa Kikristo na walikuwa wakielekea Dar esalaam kwenye matamasha ya Uimbaji Kwaya.


  Mangu alisema awali mabasi hao yalikuwa yametokea Segera huku yakiwa yameongozana na moja ilipofika eneo la Makole ghafla iliyumba na likapinduka likatumbukia korongoni.  Alisema la pili iliyokuwa ikifatana nalo likapita eneo hilo lakini baada ya mita mia tano dereva alipigiwa simu na mwenzake kuwa amepata ajali na wametumbukia korongoni hivyo ikawalazimu kugeuza kurudi nyuma ili wakawasaidie wenzao hao.


  Kamanda huyo ameongeza kuwa Basi hilo ilipofika eneo ilipotumbukia mwenzake baadhi ya abiria walishuka ili kuwasaidia wenzao na wakati wakiwa kwenye zoezi hilo ghafla ilitokea lori na kuliparamia kisha basi hilo nalo kutumbukia mtaroni.


  Alisema baada ya lori hilo kuligonga basi hilo liliendelea mbele kwa spidi na kukutana uso kwa uso na lori ingine na kugongana uso kwa uso hivyo kusababisha kufunga barabara hiyo kwa zaidi ya nane.


  Akielezea namna ajali hiyo ilivyotokea ni kwamba basi KBQ ilikua mbele waliachana kidogo na basi KBL na ilipofika eneo la tukio KBQ iliacha njia na kupinduka kisha kutumbikia korongoni upande wa kulia ukitokea mkoani Tanga.

  "Kutokana na kutumbkia humo haikua rahisi kwa mtu ama gari kuiona haraka hivyo wenzao walipofika hapo nao walipita bila kujua kama kuna gari imeanguka na walipofika mita mia tano mbele dereva alipigiwa simu na mwenzake akimjulisha kuwa amepata ajali na wametumbukia mtaroni hivyo aligeuza na kurudi nyuma ili kuwaokoa wenzao"Alisema Mangu  Alisema basi hilo la pili ilipofika eneo la ajali likageuza kuelekea upande wa Chalinze na kupaki pembeni mwa barabara hiyo kuu na abiria kadhaa nao wakawa wameshuka kutoa msada lakini wakati wakiendelea kuwaokoa ghafla ikatokea lori T 229 ASP /T 785 AFX Scania iliyokuwa ikieleka Dar esalaam ambalo iliigonga basi hilo KBL lililokuwa limepaki na baadhi ya abiria kuokoa wenzao na kisha nalo kutumbikia mtaroni.


  Alisema lori hilo baada ya kuligonga basi hilo pia iliendelea kwa kasi na kwenda kukutana ana kwa ana na lori ingine T 272 DWZ /449 PVW iliyokuwa inaenda Arusha na kusababisha kufunga kwa barabara kuanzia majira ya saa 11 alfajiri hadi saa sita na nusu mchana Polisi walipofanikiwa kuyaondoa malori hayo barabarani na hivyo njia ikafunguka na magari yakaanza kupita muda huo.


  Akizungumzia kuhusu majeruhi na miili ya marehemu,Mangu alisema wote walihamishwa na kupelekwa hospitali ya Rufaa ya Muhimbili kutokana na kwamba zoezi hilo limeshaanza kushungulikiwa na Ubalozi wa Kenya.


  Hata hivyo ajali hiyo ni miongoni mwa ajali saba zilizotokea usiku na asubuhi ya kuamkia Agosti 10 ambazo baadhi zimesababisha majeruhi zaidi ya 20 katika maeneo ya Msata,Chalinze na Mbala wilaya Bagamoyo.  mwisho.


   
 4. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Manabii na mitume jitokezeni kuombea hili lisiendelee
   
 5. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  dah poleni sana wafiwa na majeruhi nawaombea mpone haraka!
   
 6. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,122
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Poleni sana.
  R.I.P. watumishi wote wa Bwana mliotwaliwa katika maisha haya kwa jinsi ya kusikitisha sana.

  Kweli maombi ni ya muhimu sana.
   
 7. livefire

  livefire JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kibaki orders military choppers to airlift survivors.
   
 8. livefire

  livefire JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  DAILY NATION
  KIBAKI ORDERS evacuation of Kenyans
  involved in the Tanzania bus accident; army
  choppers to airlift victims to Nairobi for
  treatment.
   
 9. Nairoberry

  Nairoberry JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 570
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  President Kibaki has ordered the evacuation of Kenyans involved in the Tanzania bus accident that claimed 11 lives.

  He instructed the Kenya Army helicopters to airlift the injured to Nairobi for treatment.

  "The President has instructed the armed forces to provide the necessary aircraft and helicopters to evacuate the injured to Nairobi for further medical attention," said a statement from the Presidential Press Service.  In his condolence message, the President mourned those who lost their lives in the "tragic" accident and wished the injured "quick recovery".

  Eleven Kenyans died and 25 others were seriously injured early Friday following a road crash on the Tanga- Dar es Salaam, according to Tanzanian authorities.

  The Kenyans were church faithful from the Presbyterian Church of East Africa (PCEA) Thika Women's Guild.

  The Coast Region Police Commander Ernest Mango said seven of those injured were in critical condition.

  Seven of them died on the spot while the others succumbed as frantic efforts were made to clear the road and rush them to nearby hospitals.

  The accident occurred at Makole village in Kibaha district.
  Mr Mango said the injured were treated at Msata and Chalinze health centres but were moved to the Tumbi regional hospital in Kibaha district for specialised treatment.

  The smash up involving the two buses and two lorries caused heavy traffic jam that frustrated efforts to rush the injured to hospital.


  “The pile up blocked the highway on both sides from 5.30am to about 12.30 pm when we managed to remove the wreckage and resume smooth follow of traffic,” said Mr Mango.

  Mr Mango said, according to initial reports, one of the buses had burst a tyre and overturned, landing in a ditch.

  “The second bus passed them and made a U-turn some 500 metres away."

  At the scene, a lorry heading in the same direction rammed one of the bus.

  “The lorry driver apparently lost control and brakes appeared to have failed. It hit the stationary bus and veered off, colliding head on with another lorry moving in the opposite direction,” said Mr Mango.

  The women's group was headed to the Tanzanian capital, Dar es Salaam for a retreat.
  Kibaki orders evacuation of Tanzania road crash victims- News|nation.co.ke
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Inanikumbusha wa-rwanda wale. Kwetu pazuri.
   
 11. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  OMG! A tragic accident. Wish a quick recovery for those ijured and for the ones who lost their lives R.I.P
   
 12. Nairoberry

  Nairoberry JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 570
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  [​IMG]

  kenya army mil mi 17 helicopters type likely to be used for Tanzania accident evacuation

  [​IMG]
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Poleni sana wafiwa na marehemu walazwe pema peponi amen....
   
 14. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  walikuja kuhubiri au kutafuta kazi kutumia mgogngo wa kanisa??this povert will never spare us!
   
 15. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Inasikitisha sana!

  Lakini huyu wa lori nina hofu ya kwamba alikuwa amelala!
   
 16. R

  Reginald12 JF-Expert Member

  #16
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 262
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  R.i.p.
   
 17. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #17
  Aug 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #18
  Aug 11, 2012
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135
  siku zote kutetea wageni tu kwa nini wasiwe wenye basi? kama hukuwepo kwenye tukio huna haki ya hukumu!
   
 19. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #19
  Aug 11, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,371
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 280
  ni kweli maombi ni silaha muhim sana. Rip marehemu wote. Majeruh wapone
   
 20. D

  DOOKY JF-Expert Member

  #20
  Aug 11, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  habari, mwenye taarifa za kina juu ya kusafirishwa kwa marehemu wa ajali ya Makole.

  je wamesafirishwa?
   
Loading...