Setup zangu zote hazi-run kwenye PC

Top gun maverick

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
2,016
2,592
Habari wanajukwaa, poleni na mvua hasa wananchi wa Dar es Salaam.

Husika na kichwa Cha habari hapo juu mwanzo setup zangu zilikuwa zina run vizuri kama vile app ya opera mini, BlueStacks na eclipse Java, ila Leo kila nikijaribu kuwasha pc setup Hazioneshi icon ya kapicha, na naletewa ujumbe "THIS APP CAN'T RUN ON YOUR PC" wakati siku za nyuma zilikuwa vizuri tu, naomba msaada tafadhari mwenye experience ya haya.. Asante!!
 
Ainaitwa 0kb uyo katembelea pc yako anza kudownload upya! Na weka aunty klusiy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom