Settings za kuona jina la Mtandao wa Simu unapopiga simu

Top gun maverick

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
2,018
2,599
Habari poleni na majukumu

Naenda straight to the point, hivi Kwa watumiaji wa android hivi ili niweze kujua I'd ya mtandao wa simu Kwa mtu ninaye mpigia mfano, Vodacom, Tigo, nk sababu zamani ilikuwa inatokea kwenye simu yangu Samsung galaxy A10s.

Sasa hivi naona jina tu la mtu na neno Tanzania.

Msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom