Setting za dish LA azam

bulbulmunar

Member
Dec 17, 2015
56
14
Habarini za mida kama hii...naombeni msaada wenu nilihamisha dish langu LA azam kutoka eneo moja kwenda lingine ..hivyo nimelipandisha juu LiMeleta signal ila Chanel zilizokuja sizo zilizokuwepo...Na hazionyeshi..mnisaidie watu wangu Wa Nguvu.
 
Hakikisha dishi linakuwa kwenye 7°East.
Nafikiri zile frequencies na Intelsat ukifanya autosearch zitakuja zenyewe.
 
<<< MAUMIVU yakizidi MUONE daktari <<< Kufa kufaaaaaana somo Ukishindwa wape watu DILI hilooooooo>>
 
Habarini za mida kama hii...naombeni msaada wenu nilihamisha dish langu LA azam kutoka eneo moja kwenda lingine ..hivyo nimelipandisha juu LiMeleta signal ila Chanel zilizokuja sizo zilizokuwepo...Na hazionyeshi..mnisaidie watu wangu Wa Nguvu.
Mkuu upo wapi tusolve hilo tatizo
 
Back
Top Bottom