Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Wadau google is my best friend so msishangee naleta maswali haya ambayo wengi wana majibu lakini kuna baadhi tuna mtazamo usio sahihi kuhusu neno Server. So usishanage mwisho wa thread hii tukaijikuta tulikuwa una jibu sahihi lakini lisilo kamili.
enhee mswali ni yapi chacha
Nawachilicha.
enhee mswali ni yapi chacha
- Server ni ni nini?
- Maximum na minimum specification ya server inatakiwa kuwaje?
- Unaweza kutambura server kwa umbo?
- Kuna aina ngapi za server?
Nawachilicha.