SERUKAMBA: Kwa hili la mchanga wa Madini, MAGUFULI atatikisa dunia

Erick Richard R-Madrid

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
399
282
Mbunge Peter Serukamba amempongeza Rais Magufuli kwa uamuzi wake na kusema atabadilisha sera ya uchimbaji wa madini duniani kote
Amesema haina haja ya kuogopa ila tuwe nyuma ya Rais tumuunge mkono na wawekezaji watakuja mezani,
Amesema wamefanya mazungumzo tangia mwaka 1999 lakini hakuna walichofanya na alichofanya Magufuli ndichokilichotakiwa kufanywa

 
Hakuna wanachama fata upepo kama machadema yaani yanasubiria bit tu yatunge nyimbo,,,,,,sheria gani mnazijuwa?????? Za kumleta Pamela.....!!!
 
Back
Top Bottom