aminangalo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 974
- 189
Serukamba ajipendekeza kwa zito amwachie Jimbo kwa sababu kigoma mjini hawamtaki kwa kuwalazimisha wampe EL kura wakati anaefaidika na pesa za zakaria za kukwepa kodi ni yeye! Na lengo la pili kuhakikisha EL aningia ikulu ili apate namna ya kurudisha pesa anazopewa na wadhamini wake!