Serkali ya CCM Imeanza kwa Hofu na Kutetemeka?

Mtu wa Mungu

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
444
19
Hivi kwa kuanza hivi walivyoanza serikali ya sisiemu, yenye uzoefu wa miaka 50, inakiogopa Chadema au inamuogopa mwanaharakati Tundu Lissu??????????????????
 
toa ubaguzi wako hapa,serikali ya ccm au serikeli,serikali haina chadema au ccm,upungufu wa elimu ya huo
 
Kwani nani asiyewajua hawa jamaa kwamba wanaanza kwa fire fighting, but at the end of 5 yr term we are 5 yrs backward and maskini zaidi!!!!!; Mwaka 2005 nchi hii ilikuwa na masikini mil. 11; kwa takwimu zao wenyewe mwaka huu wa 2010 kuna masikini mil. 12!!!!!!!!!!!!!!
Mimi nadhani hofu hii ina genuine source yake-hawana ujasiri kutoka ndani ya mioyo yao kwa sababu ya dhamiri kuwahukumu kwa kuingia madarakani kwa njia za wizi-rais, wabunge 19 batili, kesi za mahakamani kibao za madai ya kuchakachua- yaani hawana ridhaa ya Mungu kwenye nafasi hizo-ndiyo maana wanadhani wakibweka kwa sauti ya simba mla watu kiasi kutisha wabongo walio chini yao basi kwa imani zao punda watakwenda!!!!!! Sawa punda watakwenda lakini je watakunywa maji?????? Labda wabongo wengine!!!!!!!!!!!!!!!!!! Siyo hawa ambao kwa kila jambo majibu yao ni "no problem"!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!???????????????
Aidha, tusisahau kwamba vikao vya bunge kuanzia Feb 2011 vitasheheni hoja nzito za serikali ya sisiemu kujibia-viporo vya EPA, Richmond, etc; hoja za CDM kudai tume huru kuchunguza wizi wa kura, ripoti ya David Martin wa EU; kudai kuandikwa katiba mpya mfano ule aliotoa Jaji Mst. Manento(Mkiti Tume ya Haki za Binadamu), CDM na Tundu Lissu; na huku nje Slaa na Mabere Marando wakienelea kuelimisha umma hasa vijana ambaao ndiyo majority kuzidi kuilewa, kuichukia na kui-abandon sisiemu!!!!! At the end watavuruga zaidi!!!!!!!!!!!1
 
Back
Top Bottom