Serkali: Viwanda vilivyobinafsishwa lakini havijaendelezwa kurejeshwa serikalini baada ya sherehe za Saba saba

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,850
141,769
Waziri wa viwanda na biashara amesema viwanda vyote vilivyobinafsishwa lakini wahusika hawakuviendeleza vitarejeshwa serikalini.

Waziri amesema baada ya sherehe za Saba saba atafanya ziara ya kukagua viwanda vyote na vile visivyoendelezwa vitarejeshwa serikalini.
Waziri ameyasema hayo alipokutana na waandishi wa habari kuzungumzia mikakati yake.

Source ITV habari!
 
Ndege ambazo hazifanyi kazi kama ilivyopigiwa ramli na zimetugharimu pesa nyingi zinarejeshwa wapi?
 
Back
Top Bottom