Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,809
- 34,193
Mpaka mwezi wa 12 mwaka huu kutakuwa hakuna tena haya Mabasi feki ya Uda.
Haaa Haaa kama vipi Wawarudishie sioMbona hayo magari yakiyo huku china ni mazuri kuliko hayo tuliyoletewa
Haaa Haaa kama vipi Wawarudishie sio
Ni ile ileeee ooh ni ile ileeeMkiambiwa kijani ni walewale hamtaki kuelewa basi sasa ndo hivyo tena
Lingekutana na Toyota Duet ndio ungeshuhudia maajabuBASI LIMEGONGANA NA CARINA LENYEWE NDO LIMEKUWA NYANG'ANYANG'A
í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸ tutaisoma nambampaka sasa idadi ya maboksi hayo yaliyogongwa na kumong'onyoka yanafikia 35
Nakuunga mkono!Ishu sio umayai wa haya mabus ishu ni ustaarabu zero wa watanzania. Kama yangekuwa magumu ndiyo ingekuwa sawa kuyagonga? Ustaarabu zero wa waafrika unafanya ajali zitokee kila Leo kwenye njia ambayo haipaswi kutumiwa kwa matumizi mengine isipokuwa DRT.
Kwanini yagongwe wakati yana njia yakempaka sasa idadi ya maboksi hayo yaliyogongwa na kumong'onyoka yanafikia 35
Kwanini yagongwe wakati yana njia yake