Seriously natafuta msichana wa kuoa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Seriously natafuta msichana wa kuoa!

Discussion in 'Love Connect' started by Master detectie, Dec 28, 2011.

 1. M

  Master detectie Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  see uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Daah mimi sifa zote ninazo
  ni mweupe
  nimefungasha
  ni mkiristo situmii kinywaji chochote
  nina miaka 25
  nina kazi nina mabiashara
  sijawai kuolewa
  sijawai kuzaa
  ila tatizo ni moja nina mimba ninakufaaaaa?
   
 3. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  kama hivyo vigezo ulivyovitaja hapo ndiyo siffa za mwanamke unayemtaka, nakushauri uendelee kukua ili uweze kutabua vigezo halisi vya mke mwema!
   
 4. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  njoo kwangu huyo kinda tutamlea halafu niongeze wa pili
   
 5. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Mh km hata MAJI hutumii una hatari!!!! KINYWAJI CHICHOTE????
  Smileeeeeeee:shock:
   
 6. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  kama mke anatafutwa hv itakula kwako, hata pale jolly club na ambiance wanapojiuza machangu wapo wenye sifa kama hizo, wasomi wenye kazi zao na mabiashara pia. Funguka kijana, mke hatafutwi kama ufikiriavyo wewe.
   
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Smile hicho ulichovuta si cha kawaida, nimechekaje?
   
 8. B.O.G

  B.O.G Senior Member

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uko sahii kabisa kuwa mke hatafutwi hivi . ila naomba ufunguke na uweze kumueleza njia ambayo wewe unaiona kuwa inafaa labda sababu ndo ulipatia ama ulitoroshea huyo mke ulyenaye. na kama huwezi kutuanikia hilo hapa janvini basi njia yake ya kutafuta mwanamke hapa Jamiiforums ni halali kwa kuwa nayeye ni mwana Jamii anayetafuta mwnaJamii kisha waJamiiane na waweze kuongeza Jamii. nakutakia Heli ya mwaka mpya.
   
 9. k

  kijukuu kindo Member

  #9
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  B.O.G umenivunja mbavu mwayego.Duuh
   
 10. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 794
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Je una tembocard master!?
   
 11. M

  Master detectie Member

  #11
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umefeli kabla ya mtihani! Labda subiri kipindi cha pili utasaidiwa na upepo!
   
 12. M

  Master detectie Member

  #12
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama ningehitaji machangudoa wanaojiuza nisingekuja humu maana wapo wamezagaa kila kona! Tuliza ball wewee!
   
 13. M

  Master detectie Member

  #13
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nina mbwehacard master card!
   
 14. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Jamani mimi nina misifa yote hiyo hapo juu... na ni mwalimu wa unyago. Get in touch please
   
 15. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Acha kuota ....
   
 16. M

  Master detectie Member

  #16
  Jan 4, 2012
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah, pole sana huna space! Nakushauri kafundishe wamatumbi wanaotaka kukeketwa.
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  hahahahahaha!
   
 18. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #18
  Jan 5, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Usisahau kuangalia hata huko mitaani pia wapo!!
   
 19. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #19
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Huyu yupo availabo na anakizi vigezo vyote........
  tukupe mawasiliano undelee na mchakato wa posa??

  [​IMG]
   
 20. zakiyah

  zakiyah JF-Expert Member

  #20
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 284
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  aliyekwambia wamatumbi wanakeketwa nani?
   
Loading...