Serious natafuta mwanamke

JONATHAN KAMWAVAH'S

Senior Member
Oct 9, 2012
184
24
Mjasilia mali,mnyamwezi mama mpale:yeye awe anashepu nzuri,maziwa yaliyo simama,dini yoyote,form 4 na kuendelea,ni PM.
Mimi Ni mrefu,maji ya kunde,si mnene,form six.
 
Awe anaishi kwake au kapanga,awe ameajiliwa au kajiajili,shepu nzuri,mwenye heshima na upendo,ni pm nikupe mawasiliano.
 
ukome kuangalia porn,maziwa yaliosimama na shape nzuri ni wa huko...kubwa jinga we!
 
Mjasilia mali,mnyamwezi mama mpale:yeye awe anashepu nzuri,maziwa yaliyo simama,dini yoyote,form4 na kuendelea,ni PM.

Acha udomozege mdogo wangu, mke wa kuoa hapatikani kwa matangazo kama ya kondomu, kama huwezi kutongoza nenda kijijini kwa babu yako wakakutafutie mke, ukioa wa mjini kwa ushamba wenu wanyamwezi utaibiwa tu, Halafu why unataka aliyepanga? au unataka iwe rahisi kwako kumtumia kimapenzi kila unapomhitaji na baadae umwache?. Tumia akili kwenye jukwaa hili watu wanashauriana kuhusu mapenzi na uhusiano,mapenzi na urafiki na sio matangazo ya kutafuta wake. Tumia akili.
 
Mjasilia mali,mnyamwezi mama mpale:yeye awe anashepu nzuri,maziwa yaliyo simama,dini yoyote,form4 na kuendelea,ni PM.

Mkuu kuna mmoja nmemwona ana maziwa yanayokimbia vp nmwambie akupm? Au ww unataka yaliyosimama tu? Eti awe amepanga!! Mkuu unataka akukaribishe mjini uishi kwake?
Kwan kuna uhusiano gan kati ya kuoa na kupanga? Kuna ubaya gani akiwa anaishi kwa wazaz wake?
Mkuu post yako na umri wako ni sawa na S > S (pole)
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom