Serious! Malaria Sugu, FaizaFoxy,Rejao na Rtz1 wako kwenye kundi hili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serious! Malaria Sugu, FaizaFoxy,Rejao na Rtz1 wako kwenye kundi hili.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Otorong'ong'o, Jan 28, 2012.

 1. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,198
  Likes Received: 10,540
  Trophy Points: 280
  Hebu fuatana nami hapa kwenye aina ya hawa watu.

  1. YUKO AMBAYE HAJUI NA HAJUI KAMA HAJUI= (MWELEKEZE)


  2. YUKO AMBAYE HAJUI NA ANAJUA KUWA HAJUI= (MFAHAMISHE)

  3. YUKO AMBAYE HAJUI NA HATAKI KUJUA=(MWACHE)

  4. YUKO AMBAYE ANAJUA NA HAJUI KAMA ANAJUA=(MWOGA)

  5. YUKO AMBAYE ANAJUA NA ANAJUA KAMA NANAJUA= (MWEREVU)

  6. YUKO AMBAYE ANAJUA,NA HATAKI KUJULISHA WENZAKE= (MCHOYO)

  7. YUKO AMBAYE ANAJUA, NA HATAKI AJULIKANE KAMA ANAJUA= (MSIRI)

  8. YUKO AMBAYE ANAJIFANYA KUWA ANAJUA KUMBE HAJUI= ( MPUMBAVU)

  9. YUKO AMBAYE ANAJUA NA ANATAKA MWENZAKE AJUE= (MUUNGWANA)


  mimi naona hawa jamaa niwaweke kwenye kundi la nane. sijui wewe unagewaweka wapi hapo.

  nakaribisha michango yenu......
   
 2. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,350
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ongeza makundi,
  hayo bado sijaona
   
 3. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2012
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Let people be gents, you don't have to like everyone and you don't have to be so occupied with people's personalities just argue your case against their posts....
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  siasa ni kama imani
  huwezi badili mtu hadi aamue mwenyewe.
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,508
  Likes Received: 5,741
  Trophy Points: 280
  Hon regia angekuwa na roho kama yako jana ama siku ya karimjee watu wasingekuja kumwaga vile hapo ndio maana wengine sio tunapenda kuagwa charambe mbagala ni kwa sababu za roho zetu Mungu anaamua kutuadhibu tukaagiane charambe badala ya karimjee
  huwezi kumpenda kila mmoja jf dear wala kumchukia ..niko toka 2007 leo hii nikikwambia wabaya wangu niliowaweka kwenye list leo tuna pm kuulizana umeamkaje anijui sikujui na hujui atakusitiri wapi......
  CHANGE
  YES WE CAN
   
 6. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Namba 8 inakuhusu!
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Kwenye Blue, MS na FF inawahusu. wanaujua ukweli lakini basi tu. ila Rejao ni duwanzi kabisa hamna kitu anajua.
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Mkuu unataka kutuambia hii post ni ya kipumbavu?
   
 9. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  napita.....
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,508
  Likes Received: 5,741
  Trophy Points: 280
  zaidi ya upumbavu ni ujinga na upoyoyo kbd ikikuwasha unaamua kulipuka jf watajuaje niko live leo
   
 11. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Vibaya jamani kuwaona wewnzenu wabaya sana na nyie wazuri sana. No one is perfect.
   
 12. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  unaelekea jukwaa gani?
   
 13. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Jukwaa la dini ... Karibu
   
 14. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  mhh! Huko buchanan anaweza kukuzawadia BAN bila kutarajia, ngoja nikaone yaliojiri ktk sports!
   
 15. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  tedo, namba 8 nimeipenda.
   
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  Jan 28, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Pita lakini usizoee kukatiza uani kwa watu.
   
 17. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,116
  Likes Received: 6,598
  Trophy Points: 280
  Napita. source. njiwa.
   
 18. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Niambie dr..w.end yako vp? Naona kuna watu wanataka niwaharibie w.end zao hapa!!
   
 19. D

  Dislike Senior Member

  #19
  Jan 28, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Eti kweli we ni empty kabisa huelewi chochote?
   
 20. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #20
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dah,ya kweli hayo?
   
Loading...