Serious discussion: Kuna madhara yapi yatatokea endapo ndugu wa damu watazaa pamoja?

Kumbe ni kweli mimba ya Ashura ni yako... We mbaya na huna haya. Dada ako kabisa unampa mimba na unataka azae?
 
Kuna ile hali ya kuikwepa damu yako isipatwe na laana za kikoo


Mfano km kila uzao lazima taahira apatikane kutokana na makes I ya wazee wetu wakaapiana kuwa kutakuwa na mataahira mpaka kizazi cha ko cha 5 .

Sasa km mnazakiana ntakuwa mnazaliana laana bora utoke nje uchanganye damu ingine mtoe watoto walau wataepukika.


Huo ni mfano

Mambo ya kufikirika hayo. Na kama kuna baraka je? Kwanini usitake zibaki ndani ya familia yenu?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom