Serious discussion: Kuna madhara yapi yatatokea endapo ndugu wa damu watazaa pamoja?

Kwa wafugaji wanajua madhara ya inbreeding na hakuna mfugaji makini ataruhusu hilo litokee maana hupelekea kupata uzao dhaifu sana na wakati mwingine hata watoto hudhoofu na kufa, sisi kama binadamu ni sehemu ya wanyama hatuwezi kukwepa madhara hayo.

Nje ya mada kama umemnyandua dada yako ukampa mimba fanyeni mchakato wa kuitoa chap.
 
Mwanadamu ameumbwa na haiba, haya, na ufahamu......vyote hivi vinamuongoza kuelekea kwenye ustaarabu wa kimaisha ya kibinadamu kulingana na muongozo wa kanuni za kiimani......Mwanadamu anapotoka nje ya utaratibu huu, matendo, mawazo na mienendo yake haina tofauti na wale wanyama au wadudu wa porini.......

Kama ambavyo usalaama wa dereva anayeendesha chombo cha moto unatokana na maelekezo ya aliyekitengeza chombo......ndivyo ambavyo mwanadamu hawezi kubaki salama kwa kutofuata maagizo na taratibu za aliyeumba ulimwengu huu.......
 
Nadhani wale waliosoma Biology kwenye Genetics na Evolution wanaweza kutusaidia! Wengine tulishasahau.
 
Hakuna laana za ukoo
Kuna ile hali ya kuikwepa damu yako isipatwe na laana za kikoo

Mfano km kila uzao lazima taahira apatikane kutokana na makes I ya wazee wetu wakaapiana kuwa kutakuwa na mataahira mpaka kizazi cha ko cha 5 .

Sasa km mnazakiana ntakuwa mnazaliana laana bora utoke nje uchanganye damu ingine mtoe watoto walau wataepukika.

Huo ni mfano
 
Najua kuna tamaduni na pia dini ama imani zinapinga, ila siko hapa kuwa upande wa utandawazi na nitendelea kufuata tamaduni na dini lakini sijui sababu. Nachotaka ni maarifa kutoka kwa wakongwe.

Je, nani alishashuhudia haya, ilikuwaje?

Mshana Jr na wengine tusaidie.
 
itakua umeshaonja utamu wa dada wewe na sijui kama utaacha maana vitu vilivyo katazwa huwa ni vitamu
 
Najua kuna tamaduni na pia dini ama imani zinapinga, ila siko hapa kuwa upande wa utandawazi na nitendelea kufuata tamaduni na dini lakini sijui sababu. Nachotaka ni maarifa kutoka kwa wakongwe.

Je, nani alishashuhudia haya, ilikuwaje?

Mshana Jr na wengine tusaidie.

Though kunaweza kusiwe na shida na mtoto akakua, but there are reasons why we are not animals!
 
Upande wangu sioni kama kuna tatizo maana kila mtu ana matatizo katika familia aliyotoka na pengine yanaweza kuwa makubwa kuliko ya familia yako,
Naomba kufahamishwa kwani uzao uliendelea vipi baada ya gharika kuu?
 
Najua kuna tamaduni na pia dini ama imani zinapinga, ila siko hapa kuwa upande wa utandawazi na nitendelea kufuata tamaduni na dini lakini sijui sababu. Nachotaka ni maarifa kutoka kwa wakongwe.

Je, nani alishashuhudia haya, ilikuwaje?

Mshana Jr na wengine tusaidie.
Ni laana na laana ni angamizo
 
Faida nj kuwa utaitwa anko halafu utakuwa baba pia utakuwa babu baadae huku ukiwa baba mdogo pia
 
Najua kuna tamaduni na pia dini ama imani zinapinga, ila siko hapa kuwa upande wa utandawazi na nitendelea kufuata tamaduni na dini lakini sijui sababu. Nachotaka ni maarifa kutoka kwa wakongwe.

Je, nani alishashuhudia haya, ilikuwaje?

Mshana Jr na wengine tusaidie.
Inherited Disease

Keeping it in the family: consanguineous marriage and genetic disorders, from Islamabad to Bradford​

BMJ 2019; 365 doi: Keeping it in the family: consanguineous marriage and genetic disorders, from Islamabad to Bradford (Published 29 April 2019)Cite this as: BMJ 2019;365:l185
  1. Martina Merten, freelance healthcare journalist
  2. Author affiliations
  3. info@martina-merten.de
Marrying close family members is a tradition in many countries and among their emigrants, leading to higher rates of genetic disorders. Reporting from Islamabad, Martina Merten asks how these disorders can be reduced.

One billion people worldwide live in countries where marriage among relatives is common. Of this billion, one in three is married to a second cousin or closer relative or is the progeny of such a marriage.12 The frequency of genetic disorders among such children is around twice that in children of non-related parents.12

In some South Asian, Middle Eastern, and north African countries, as many as half of marriages are consanguineous.1 In Pakistan, half of the population marry a first or second cousin, more than in any other country.3 In rural areas this can be 80%, says Hafeez ur Rehman, an anthropologist at the Quaid-i-Azam University in Islamabad. Emigrants from these regions sometimes maintain these traditions.

The custom in all of these countries is similar, he told The BMJ, as marrying within the immediate family guarantees that wealth stays in the family. Partners will have similar socioeconomic status and similar family customs. A good relationship may already exist among parents in law. And divorce rates are believed to be lower.

Hafeez adds, “In our culture, marrying for love is still not highly looked upon, even if younger, educated people increasingly choose that path.”

According to the Pakistan Demographic and Health Survey in 2012-13, the probability of marriage for love increases with the woman’s level of education. But education remains an exception: only 36% of women and 46%...

Ifuate mwenyewe;
Consenguinous marriage
 
Najua kuna tamaduni na pia dini ama imani zinapinga, ila siko hapa kuwa upande wa utandawazi na nitendelea kufuata tamaduni na dini lakini sijui sababu. Nachotaka ni maarifa kutoka kwa wakongwe

Je, nani alishashuhudia haya, ilikuwaje?

Mshana Jr na wengine tusaidie.

Kiuhalisia hakuna shida kabisa bali kimtazamo...hii inatokana na ukweli kwamba kuna ndugu wengi tu wamezaa pamoja kwa kujua ama kutokujua ...na mapenzi yao huwa na nguvu sana
 
Sijui niliskia wapi USA kuna couple ya dada na kaka waliotaka kutambuliwa kisheria....
 
Najua kuna tamaduni na pia dini ama imani zinapinga, ila siko hapa kuwa upande wa utandawazi na nitendelea kufuata tamaduni na dini lakini sijui sababu. Nachotaka ni maarifa kutoka kwa wakongwe

Je, nani alishashuhudia haya, ilikuwaje?

Mshana Jr na wengine tusaidie.

Vizazi vizalia na masalia. Je, kuna asili iliyopotea?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom