Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,903
- 2,580
Ni swala lisilohitaji ushabiki kabisa, unahitajika mjadala mpana wa kuona ni jinsi gani chama kikuu cha upinzani kinajenga ofisi zake zenye hadhi.
Chadema ina zaidi ya miaka 25 tangu kuanzishwa kwake na ni chama kinachopata ruzuku kubwa kutoka serikalini.
Sasa chama kikuu cha upinzani ni aibu kubwa sana kutokujenga ofisi zake makao makuu na mikoani.
Mambo ya kutumia ruzuku ya chama kuendeshea kesi zisizo na kichwa wala miguu, tuache sasa.