kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,809
mkuu nakushauri chutama, jamaa amekuzid mbali sana hata sisi watazamaji tunaliona hilo wazi, huwezi kuarge naye, unajidhalilishaMajeshi ya kisasa yepi unayoonyelea? Ya matekani au wapi?
Just juzi tu Raisi Trump na Angela Markel walisema kuwa walikosea kuvamia Iraq na Libya na kuwaondoa Saddam Hussein na Ghadafi
Jeshi lipi.la kisasa unaloongelea wewe linalisema ukweli jeshi la mgambo au?
Sent using Jamii Forums mobile app